Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Siku foreman anapopambana na meneja. Huo ulinganifu ulioufanya sio halisia, ni hulka yako ya kujilinfanisha. Jitafakari sana ujikubali nafasi yako, wala si kuleta hesabu za mlinganyo kwenye maisha. Itoshe tu kukushauri hivyo ewe mpambanaji
 

Ilikuwaje hicho kitabu cha dini kikaandikwa na mwanaume!?

Kwanini kisingeandikwa na mwanamke? au binadamu wa jinsia nyingine(kama yupo)?

Kwanini na nyie wanawake mkakubali kuishi kwa kukifuata kitabu hicho ambacho kiliandikwa kwa ajili ya kuwakandamizeni?

Je wewe una dini?

Kwani sasa hivi ndio mmekuja kushtuka kwamba mmekuwa mkiishi kwa kufuata mfumo(dini) unaowakandamiza?

Ina maana siku zote hizo mlikuwa wajinga kiasi kwamba mlishindwa kabisa kutambua kuwa mko chini ya ukandamizi?
Na nni nini kinachokuaminisha kwamba siku za usoni ngie wanawake ndio mta rule hii dunia ?
 
Kwa hiyo kuwa juu yetu, au kuwa mtawala ndio inawapa uhalali wa kufanya dhambi?
Au ndio mkifanya dhambi zinageuka kuwa "haki" huku zetu wanawake zinaonekana kinyaa?
Hicho ni kiburi cha asili. Hebu soma tena uelewe. You can't avoid nature, you can just control it.
 
Kuna biashara yoyote inayofanikiwa bila kuwa na wanunuzi?
Mnavyoonekana kukerwa na wanawake wanaojiuza nilitegemea kwa pamoja muungane mpinge kununua lakini sio mnanunua baadae mnakuja kuhubiri dhambi zetu.
Kwanini nyinyi msiungane kupinga kuuza. Sisi tunanunua kwa sababu zipo zinauzwa.
 
Mambo poa Manga ML.
Uzi unahusisha kila kitu, imani na uhalisia.
Ki uhalisia mkubali lawama kwamaana nyie ndo mna tulea.
Wamama wakiwaona binti zao wakiachia paja wazi ilikua ni vifinyo kwa sasa ndo kwanzaa hata chupi hamvai tutakaa sawa kweli?
 
Wow hongereni sana kumbe wanawake wa kibongo mmepiga hatua kubwa kiasi hiki kiuchumi !?

Baasi tuna haki ya kujivunia kwa maendeleo makubwa waliyonayo wanawake zetu, maana mmewazidi mpaka wanawake wa USA ambako wanaume bado ni dominant kwenye business arena.
 
Vipi kuhusu uwezekano wa hivyo mnavyoviita vitabu vya mungu kuwa siyo vitabu vya mungu bali vitabu vilivyoandikwa na wanaume?
Kwanini viandikwe na mwanaume?

Wanawake walikuwa wapi wakati wanaume wanaviandika!?

Kwanini wasingevisusia na badala yake wamekuwa wakiishi kwa kuvifuata kwa maelfu ya miaka?

Kwanini angalau hata wanawake wasingekomaa hili mwandishi wa vitabu hivyo awe neutral na pasionekane kuwa na ukandamizaji wowote?
 
Si kweli napinga huo utafiti hzo ni stereotypes tu za mwandishi na kwanini ili muonekane wanaume ni lazima mumu undermine mwanamke why?
Ili mtu awe mwanaume lazima awepo mwanamke. We unadhani wanawakw wasingekuwepo neno mwanaume lingetoma wapi?
 
Ndo uhalisia namuache kulia lia huku kuhusu wanawake kama nyie ni wanaume kweli
Who is crying by the way?
Kuna NGOs ngapi za kutetea mambo ya wanawake?
Nikimtawala mke wangu nyumbani tayari am safe sihitaji NGO yoyote. What about you? Hamjiwezi mpaka mpate NGO
 
Unamtawala ili iweje hujiamimi ur manhood ndo maana. Staki kutawaliwa na mtu najitawala mwenyewe na halmashauri ya kichwa changu. Sihitaji wakunikamilisha naji mudu mwenyewe
Who is crying by the way?
Kuna NGOs ngapi za kutetea mambo ya wanawake?
Nikimtawala mke wangu nyumbani tayari am safe sihitaji NGO yoyote. What about you? Hamjiwezi mpaka mpate NGO
 
Natutazidi sana kujiimarisha kila idara ndo tumeanza sasa mpaka tutafika juu kukomesha aina zote za discrimination. Lazima tuvuke targets zetu
 
9. Wanawake wasio na utii kwa waume zao wanaendana na Wanaume wasio na upendo kwa wake zao
Hii nukta kwa ukubwa wake unaweza kuandika vitabu na vitabu. Inaonekana umeitaja bila kujua ukubwa wake.

Naomba nikuulize maswali yafuatayo juu ya nukta hii.

1. Mipaka ya utii wa mwanamke kwa mumewe ni ipi ?
2. Kwanini umelinganisha utii na kutokuwa na upendo kwa Mwanaume kwa mke wake ?
3. Wakati gani Mwanamke huitwa si mtiifu kwa mumewe ?
4. Wakati gani Mwanaume huambiwa hana upendo na mkewe ?
10. Wanawake wanaowaacha wanaume waliowasomesha wanaendana na Wanaume wanaowaacha wanawake
Hii nukta ukiiacha hivi inaitwa upotofu au unapotosha,kwanini nasema hivyo ? Hapa ulitakiwa kusema isipokuwa kwa sababu zinazopelekea ulazima wa kuachana.

Je huko kuachana hakuna sababu ? Bila shaka zipo,hapa ulitakiwa uzitaje japo kwa uchache.
 
Reactions: Cyb
Nyaja zote za kiuchumi, kijamii, ndo mana vijana wakiume hawana mbele wala nyuma, they have nothing to show
Yaani we unachojua na kudhani material possessions will change uanamke wenu? Hahaha! No way.

Kwa idadi wanawake ni wengi kuliko wanaume. Huko makazini idadi ya wanaume outdo idadi ya wanawake. Hata mashuleni wanaohitimu wanaume ni wengi kuliko wanawake. Bungeni mpaka mpate viti maalum. Makazini manesi wengi ni KE na madoctor wengi ME, na wanaume wameanza kuvamia fani ya nursing pia. Migodini kuna wanaume wengi kuliko wanawake. Ni wapi?
Tukisikiliza report za kutoka Kisutu wanasheria kila siku majina ya ME yamedominate. Nyie mko wapi? Kwenye vicoba labda. Haya niambie ni wapi mwanaume kapitwa? Wapi?
Hivi leo wanawake na wanaume who have nothing to show?

Labda huko nchi za mbele sio hapa Tz. You women have nothing to show. Nyie mabaamedi? Wauza chiu? Ndo mseme we have nothing to show? Asalalee
 
Hatukuwa wajinga zama zimebadilika kila nyanja za maisha, ndo mana zamani watu walitembea Kwa miguu ila sikuhizi kuna magari, ndege, meli, and so on.. Hyo ya kuandikwa na mwanaume ni ilikuwa mifumo isiyo ruhusu hyo ndo mana wanawake hawakuhesabiwa ila sikuhizi wanahesabiwa na kupiga kura.

Mimi namwamini Mungu creator of everything,vinavoonekana na visivoonekana yeye ni source of life,

ila hii Kwa perspective yenu ya uonevu na kutoelewa misingi ya imani ndo mnakimbilia huko kujifichia huko kichaka sijui cha dini and whatever forms of discrimination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…