Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Na ndiyo maana nilimwambia achague hayo maandiko na kutupilia mbali habari za usawa au achague usawa na kuacha hayo maandiko....
 
Pole kwa kuumizwa kimapenzi. maana ndo nnachokiona.
Natutazidi sana kujiimarisha kila idara ndo tumeanza sasa mpaka tutafika juu kukomesha aina zote za discrimination. Lazima tuvuke targets zetu
 
Vijana watano na wanawake kumi wakipewa injini waipandishe vijana ndo watafanikiwa hilo unalinganishaje?
Yani wewe unalinganisha usawa wakupandisha engine Kwa dunia hii ya technology no need of using nguvu ya ugali kuna vifaa vya kunyanyua tu chap chap. Usawa hauangaliwi Kwa nguvu ya ugali zaidi ni kutumia akili kurahisisha maisha
 
Unamtawala ili iweje hujiamimi ur manhood ndo maana. Staki kutawaliwa na mtu najitawala mwenyewe na halmashauri ya kichwa changu. Sihitaji wakunikamilisha naji mudu mwenyewe
That's nature. Mke wangu lazima awe chini yangu. Mimi ndio mwenye mamlaka. We are equl but not the same.
 
Tatizo lenu mnatembea na wavulana mnasema ni wanaume

Ngoja wawanyooshe

Mtapiga kwata za kutosha tuu

Mwanaume halisi na mwanamke halisi hawafanyi huu ujinga unafanyika hapa
Si ndio tunawafikishia ujumbe wanaume wote maana Kwa jamii yetu wanaojielewa ni very few wasituchafulie jukwaa hili la ma great thinker na insecurities zao
 
Unamtawala ili iweje hujiamimi ur manhood ndo maana. Staki kutawaliwa na mtu najitawala mwenyewe na halmashauri ya kichwa changu. Sihitaji wakunikamilisha naji mudu mwenyewe
We usitake kutawaliwa kwani kakulazimisha mtu? By the way jitihada lazima ziwepo ili tuprove wrong with vivid examples. Endeleeni tu mafeminist.
 
Hyo kulingana na ufahamu wako
Kama wewe unavyoona anayemtawala mkewe basi ana shida kwenye manhood. Kuwa sawa haiwezekani hata mfanyeje. I repeat, you can't avoid nature, you can just control it.
 
Mkuu maswali yako mazuri sana na nafikiri jibu ni moja tu udhaifu wa wanawake katika kusimamia wanachokiamini ni sawa. Tatizo hawataki kukubali huo udhaifu...
 
Natutazidi sana kujiimarisha kila idara ndo tumeanza sasa mpaka tutafika juu kukomesha aina zote za discrimination. Lazima tuvuke targets zetu
Dunia yote inaendeshwa na wanaume. Mjiimarishe mfike wapi. You are just dreaming. We omba wanaume wakuheshimu tu huku ukipewa haki zako. Hicho unachokiwaza hakipo.
 
Si kweli napinga huo utafiti hzo ni stereotypes tu za mwandishi na kwanini ili muonekane wanaume ni lazima mumu undermine mwanamke why?
Nionyeshe sehemu ambapo kuna "men empowerment" katika jamii yoyote, sehemu ambayo kuna "kama mwanamke anaweza, basi mwanaume anaweza pia", Innovations nyingi, go to moon and come back, ni akina Gagarin, Neil Armstrong na sio akina cariha, its just nature...you can do nothing to beat nature.

Kwenye maovu hapo no one is above the other, hakuna mwenye authority ya kutenda au kumtendea mwenzake uovu. But in terms of superiority, try another millennium, not this one!!!
 
Kufikiria jambo Kwa mapana zaidi Kwa kuangalia Kwa muktadha tofauti wa faida na hasara. In short ni Ku go beyond something. I think umenielewa.
Hivi kufikiri nje ya box ndio kuwa huru au ndio kufikiri nje ya mipaka ?

Embu lro nifunze juu ya kufikiri nje ya box,nfio kukoje na kuna vigezo gani ?
 
Rekebisha kauli hapo uliposema mwanaume anajitungia sheria zake na mwanamke anafuata sheria za mwanaume kwahiyo zile sheria za Mungu zimewekwa zifuatwe na kina nani??
 
Yani wewe unalinganisha usawa wakupandisha engine Kwa dunia hii ya technology no need of using nguvu ya ugali kuna vifaa vya kunyanyua tu chap chap. Usawa hauangaliwi Kwa nguvu ya ugali zaidi ni kutumia akili kurahisisha maisha
Mbaya zaidi hizo teknolojia unazozizungumzia nyingi zimegunduliwa na wanaume...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…