Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Kuwapa wanawake wengi mimba si urijali ni lack of self control na kujielewa, kwanza hzo taasisi za wanawake zinasaidia kuinuia wanawake na Kwa takwimu za World bank Tanzania wanawake sasa wamewazidi wanaume kwenye ujasiriamali, nyie bakini na kutia mimba huku wanawake wakinyanyuka kiuchumi tu
 
Ninyi tangu mmeanza kupambana na maovu ya wanawake mmefanikiwa kuyaondoa kwenye jamii??
 
Isiwe kwa kisasi, ila hivi vitabu vya imani n chanzo kikubwa sana cha makandamizo kwa wanawake, haki inaonekana sana kwa mwanaume kuliko mwanamke naweza kusema na wao walikua na yao kufanya hvyo.
 
Mkuu, naomba niletee andiko linalomruhusu mwanaume kutenda dhambi maana umesema hadi maandiko yametaka hivyo.
 

Ni world bank wamesema lakini tukija kwenye uhalisia 😀😀😀😀😀🏃🏃🏃🏃🏃..
Na msemaji wa world bank tanzania ni mwanamke au mwanaume🙌🏃🏃🏃🏃..

Nyie ni wake zetu tu tunawapenda hivyo hivyo kwa mahaba yenu
 
umeongea kimihemuko zaidi. Mi nimeelezea matokeo ya mafundisho ya dini katika maisha ya kijamii. Kitabu kitakatifu ni kitabu cha Mungu, na ndo mana nimesema mumlaumu Mungu.
 

Wewe mtoto ulienda wapi?
 
Asante umeongezea hoja kuntu na nzito sana mkuu
 
Wewe ndo umetumia mihemko hicho kitabu gani unachotumia sie wengine tusio kitumia, kujificha Kwa maandiko ni udhaufu ili kufanya justification yako uonevu. Kwanza hvo vtabu viliandikwa na wanaume ulitaka wasijipendelee wao, ni sawa na Mimi niandike kuhusu mambo ya usawa wa kijinsia kati ya wanaume na wanawake, lazima niipe favor jinsia yangu. Acheni kutafsiri maandiko vibaya mfyuuuuuu
umeongea kimihemuko zaidi. Mi nimeelezea matokeo ya mafundisho ya dini katika maisha ya kijamii. Kitabu kitakatifu ni kitabu cha Mungu, na ndo mana nimesema mumlaumu Mungu.
 
Vipi kuhusu uwezekano wa hivyo mnavyoviita vitabu vya mungu kuwa siyo vitabu vya mungu bali vitabu vilivyoandikwa na wanaume?
 
A woman was created to be ruled by a man, will always be under a man's authority, obey and respect him. Katika dunia hii, ondoa kitu kinaitwa usawa, there's no such a thing. Kwa vile mume kafanya kwanini mimi nisifanye, if you get into a relationship with that attitude, hakika mahusiano yatakuwa yanakushinda kila siku, utakuwa unabadilisha wapenzi kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…