Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

Kushindwa kuyatafakari na kuyaelewa maandiko vzur n dhahiri kuwa yatakupoteza kabisa, mimi ni mwanaume ila nmeona madhara ya manyanyaso kwa wanawake maana sio kwa wao tu hata kwa watoto inawaathiri sana ila wengi hawalioni hili, mwanaume sio kuwa hivi kama mwanamke wako hakuheshim kwa kumfanyia mema unadhani atakuheshim ukimfanyia mabaya? Wanawake wanateseka sana na waliowahi kupitia hali hizi watakubaliana na mimi.
 
Yaani umeshindwa kuielewa mada basi hata kukielewa kichwa cha mada??

Soma tena kichwa cha mada halafu ujue lengo langu ni nini!!
 
Wewe hata Picha huoni jiongeze wewe. Wanaume sasa hivi muanzishe chama chenu cha kuwapa empowerment mko weak mumesahaulika sana, shauri yenu endeleeni Ku cremisha maandiko mnashtuka kuvuta blanket kumekucha.
Mkuu huyu aliongea tu kutetea chama lakini siyo kweli wanawake wanawazidi wanaume kwenye nyanja hizo...
 
Sasa hyo ni out of my argument. Kumwabudu Mungu haiwezi kuhalalisha uonevu, I think people hawajaelewa vzuri maandiko na sasa kujificha kwenye kichaka cha Mungu. Some issues need to use common sense.
Mungu unaemuabudu umemjulia kupitia biblia hii hii ambayo inawafeva wanaume. unajua mda mwingine tukubali facts, haina haja ya kubishana.
 
Wanawake huku Africa ni wahanga wa hayo mambo ya unyanyasi ukichangia na level ya ujinga ilivo kubwa basi wanaume wabakimbilia maandiko kujificha. Nashukuru sasa kuna sheria mbalimbali za Ku deal ni uonevu wa kila namna Kwa mwanamke
 
The most lame argument I've come across today badala ya kuongea hizi pumba nadhani ungekuja na andiko linalowaruhusu wanaume kutenda dhambi na linalosema kuwa dhambi zenu ni tofauti na za wanawake
Mbona wewe kamongo hukuja na bandiko linalosema dhambi za wanawake ni tofauti na dhambi za wanaume...
Unapanic nini hebu tuliza kipapa we mchumba wangu usilazimishe watu waelewe unachowaza kichwani mana ni tifauti kabisa na ulicho andika...

Tena ukome kujiringanisha na wanaume.
Mwanamke anayejielewa thamani yake hawezi kukaa akashindana na mwanaume never ever na haijikutokea akashinda
 
Wewe huelewi hata unachoamini na maandiko we need real facts, mie naamini yoyote anaweza kuongoza akiwa na maono na kipaji hayo ya kujifunika hana maana sana, as long as someone ni human being mwenye akili anaongoza tu bila shida. Nasema tena acheni kutumia maandiko vibaya we are living in a liberal world some customs za zamani no longer relevant in 21 century hasa mambo ya uonevu. So acha kutumia maandiko vibaya aiseee
Mungu unaemuabudu umemjulia kupitia biblia hii hii ambayo inawafeva wanaume. unajua mda mwingine tukubali facts, haina haja ya kubishana.View attachment 1208094View attachment 1208095View attachment 1208096
 
Fisrt things first kwahiyo unataka kusema kwamba yale maandiko yote yaliyowaongelea wanawake tu hayawahusu wanaume??

Kuna andiko linasema "mwanamume atawaacha baba yake na mama nyake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja" kwahiyo kwa sababu halijamuongelea mwanamke hapo utasema halimuhusu??

Kuna andiko linasema "(mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakalomuangamiza nafsi yake" kwahiyo kwa sababu halijamuongelea mwanamke hapo utasema halimuhusu??

Tofauti ya mwanaume na mwanamke ipo kubwa sana tu na hayo uliyoyaandika baadhi ni ukweli ila hapo uliposema wanaume mnajichangulia sheria na kujiwekea zinazowapendelea ni uongo kwa sababu mimi kwa uelewa wangu wa biblia hasa kwenye maswala ya uzinzi na uasherati sijaona sehemu inayowaruhusu wanaume kutenda dhambi zaidi maandiko yamekataza kwa jinsia zote na hilo litoshe tu kusema kwamba kila jinsia inatakiwa kuwa sahihi kwa nafasi yake and last but not least ulivyosema nikirudi nyumbani nitapika nitaosha vyombo lol utadhani hizo kazi huwa unanifanyia wewe
 
Nasema tena acheni kutumia maandiko vibaya we are living in a liberal world some customs za zamani no longer relevant in 21 century hasa mambo ya uonevu. So acha kutumia maandiko vibaya aiseee

21st Century needs a 21st Century bible sio? Mungu anawaonea sio?
kazi ipo.
 
Hahaaa hapana aisee ni watu wawili tofauti though tunaweza tukawa tuna share some ideologies aisee. Though I like her arguments

Yes, I read her line to line nikaona tofauti kubwa tu.

Na nahisi ndiye amekuibua, maana kuna uzi kaukimbiza mpaka nikawa natamani ungekuwepo kumpa kampani, you share so much ideas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…