Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

Kwakweli mimi nikiwa kwenye mahusiano nakua na furaha sana na amani🥰☺️☺️.. Ila sijawahi kumove on mapema, yaani nikiachwa naweza nikakaa hata mwaka au miwili kabisa maana naumiaga sana na ni ngumu kumsahau aliyekua mpenzi wangu haraka hivyo...

Wanaume mna nafasi yenu kwenye maisha ya wanawake na hilo haliepukiki hata iweje
 
Kuna ishu hapa umeongea imenigusa sana mkuu.
 
Kwasababu mwanamke hawezi ku-survive peke yake... Mwanaume ni basic need muhimu sana kwa mwanamke, Sema ndo hivyo asilimia kubwa ya Men akili ya kujua thamani zetu hamna
Daaah😂😂😂
 
Wakati tukiwa kwenye mahusiano kuna ambao huwa wanaendelea kurusha nyavu hawaelewi hata kama una mahusiano. Sasa tukiachwa tunaangalia kati ya wale warusha nyavu yupi ni bora zaidi unaanza kum-entertain.
Enheeee😂😂
 
Sawa.

Jitahidi sasa huyu wa sasahivi asikuumize.
 
Umenikumbusha To yeye naye alianzisha uzi hivi juzi kuelezea furaha yake kwenye eneo hilo.

Sasa hii tabia imeanza kuambukizwa kwa wanaume hususan wanaokua kwa sababu tunaona matendo yenye uthubutu wa aibu kwenye mahusiano yao
Kitabu cha ''Men are from mars and women from venus'' kinaelezea vizuri.

Kwamba kule sayari ya Venus walikotokea wanawake, mawasiliano na mahusiano ndio vitu vya muhimu zaidi.

Sayari ya mars kuna vipaumbele tofauti. Kwa hiyo, kwa mwanaume, kufurahishwa sana ama kuumizwa sana na mahusiano sio kawaida, ni tabia za kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…