Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

Sure.

Na hiyo ni mindset tu ambayo tumemjengea. Tangu utoto

Tangu utoto binti anaambiwa her ultimate goal is to get a man and get married.

Hivyo, muda wote wa maisha binti anajiandaa kwa jambo hilo tu, ndio lengo kuu la maisha, regardless amesoma hadi wapi ama ana cheo gani.

Mila, tamaduni na dini zote xinamwambia hivyo, kwa sababu ya moral decay anashindwa kummantain mmoja,

Akiachana na huyu anatafuta replacement haraka.

Leejay49 alifurahi sana hadi kuanzisha uzi baada ya kupata replacement, na alisema hakuwa na furaha wala amani bila kuwa kwny mahusiano.
Kwakweli mimi nikiwa kwenye mahusiano nakua na furaha sana na amani🥰☺️☺️.. Ila sijawahi kumove on mapema, yaani nikiachwa naweza nikakaa hata mwaka au miwili kabisa maana naumiaga sana na ni ngumu kumsahau aliyekua mpenzi wangu haraka hivyo...

Wanaume mna nafasi yenu kwenye maisha ya wanawake na hilo haliepukiki hata iweje
 
Wanawake ni complicated creatures. Akili zao na zetu hazifanani. hata hao wanaosema kuwa wamekuwa liberated bado wanategemea mwanaume as head kwenye mambo yao kibao.

Kuanzisha mahusiano mapya ndani ya muda mfupi ni akili za visasi zinazowasumbua. Ndo maana hata kama ukiachana naye aka move on lakini wengi wa wanawake walioachwa wakikuona na mahusiano mapya mioyo inawalipuka na kuwachemka kwa hasira na wanatamani visasi vilipwe.

Ndivyo walivyo
Kuna ishu hapa umeongea imenigusa sana mkuu.
 
Kwasababu mwanamke hawezi ku-survive peke yake... Mwanaume ni basic need muhimu sana kwa mwanamke, Sema ndo hivyo asilimia kubwa ya Men akili ya kujua thamani zetu hamna
Daaah😂😂😂
 
Wakati tukiwa kwenye mahusiano kuna ambao huwa wanaendelea kurusha nyavu hawaelewi hata kama una mahusiano. Sasa tukiachwa tunaangalia kati ya wale warusha nyavu yupi ni bora zaidi unaanza kum-entertain.
Enheeee😂😂
 
Kwakweli mimi nikiwa kwenye mahusiano nakua na furaha sana na amani🥰☺️☺️.. Ila sijawahi kumove on mapema, yaani nikiachwa naweza nikakaa hata mwaka au miwili kabisa maana naumiaga sana na ni ngumu kumsahau aliyekua mpenzi wangu haraka hivyo...

Wanaume mna nafasi yenu kwenye maisha ya wanawake na hilo haliepukiki hata iweje
Sawa.

Jitahidi sasa huyu wa sasahivi asikuumize.
 
Umenikumbusha To yeye naye alianzisha uzi hivi juzi kuelezea furaha yake kwenye eneo hilo.

Sasa hii tabia imeanza kuambukizwa kwa wanaume hususan wanaokua kwa sababu tunaona matendo yenye uthubutu wa aibu kwenye mahusiano yao
Kitabu cha ''Men are from mars and women from venus'' kinaelezea vizuri.

Kwamba kule sayari ya Venus walikotokea wanawake, mawasiliano na mahusiano ndio vitu vya muhimu zaidi.

Sayari ya mars kuna vipaumbele tofauti. Kwa hiyo, kwa mwanaume, kufurahishwa sana ama kuumizwa sana na mahusiano sio kawaida, ni tabia za kike.
 
Back
Top Bottom