kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Safi sana mkuuMi naridhikaga tu nikasharidhika nashibaga automatically ata kama kilikua kidogo
Kama wameshapewa watu wote chakula hapo ukienda kurudia utapewa nyingi tu maana watu wengi ni wavivu kurudi round 2 hata kama hawajashibaKuna mada hapa nime lalamika kuhusu pilau naona nimekuwa kituko.Hivi unaweza kuongezewa kuku na manyama zaidi ya pilau
Safi sana kwanza kutegemea chakula cha Sherehe imekaa kiswahili sana unaweza kwenda kwenye sherehe saa1 mkaja kula saa6 usiku baada ya kutunza ma MC wana makusudi sanaAibu zingine zinaepukika kabla ya kwenda nakulaga kwanza njiani pale naenda kugusa tu na pia naweza nisile sipendi kupanga folen napenda shereh zile za chakula unaletewa kwa meza
Thubutu ile kamati ya harusi inavyo tembea mda wote wanajua firigisi na mapaja ya kuku yote yao.Kama wameshapewa watu wote chakula hapo ukienda kurudia utapewa nyingi tu maana watu wengi ni wavivu kurudi round 2 hata kama hawajashiba
Msibani?Majuzi nipo msibani tumetoka kuchimba , nimepiga plate ya kwanza naona kama vile hamna nilichofanya, nikaona we usintanie chakujinyima nini, fasta nikaenda kuongeza angalau nikajiskia nafuu.
Mh hongerame kila sherehe naongezaga chakula siwezi nikaona aibu wakati nimetoa pesa ya mchango
Sherehe za sikuiz mbwembwe nyinga ratiba ndefu nakulaga na pia naenda sherehe nikishasikia maharusi wameingia ukumbini ndio naendaSafi sana kwanza kutegemea chakula cha Sherehe imekaa kiswahili sana unaweza kwenda kwenye sherehe saa1 mkaja kula saa6 usiku baada ya kutunza ma MC wana makusudi sana
Huyu mimi kabisa. Hizo zote ni options zanguAibu zingine zinaepukika kabla ya kwenda nakulaga kwanza njiani pale naenda kugusa tu na pia naweza nisile sipendi kupanga folen napenda shereh zile za chakula unaletewa kwa meza
Ulifanya jambo la maana njaa siyo nzuri kabisa, mimi nakumbuka kwenye msiba wa mtoto wa mjomba angu tulichelewa kidogo sisi ndugu kama kumi hivi wale majirani waliopika wakataka kutunyima chakula eti wakatuambia kilichobaki cha watu walioenda kuchimba kaburi aisee nilimind sema baadae tulipewa tukala baada ya vuta nikuvute ya kutoshaMajuzi nipo msibani tumetoka kuchimba , nimepiga plate ya kwanza naona kama vile hamna nilichofanya, nikaona we usintanie chakujinyima nini, fasta nikaenda kuongeza angalau nikajiskia nafuu.
Shida wabongo kwenye kwenda na muda tuko nyuma unaambiwa sherehe inaanza saa1 unafika ukumbini inakuja kuanza saa3Sherehe za sikuiz mbwembwe nyinga ratiba ndefu nakulaga na pia naenda sherehe nikishasikia maharusi wameingia ukumbini ndio naenda
Wanaogopa kuitwa heavy feedersHabari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
Naonaga aibu sana kupanga foleni ukiona nimekula kwenye sherehe bas lazima kuna Mtu kanifwatia chakulaHuyu mimi kabisa. Hizo zote ni options zangu
We unaona aibu boss au ndio wale ukipewa kupakulia watu unawabania kama umekufa wewe.Msibani?