Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

Ww mm kwenya harusi nitapiga msosi wa kushiba hizo aibu za kijinga mm sina mbona wao kwenye kutuomba michango hawaoni aibu?
Hata mimi huwa sijivungi aisee yaani nimechanga pesa yangu alafu nione aibu ya kula kwanza siyo kweli
 
1742844326131.jpeg
 
Ulifanya jambo la maana njaa siyo nzuri kabisa, mimi nakumbuka kwenye msiba wa mtoto wa mjomba angu tulichelewa kidogo sisi ndugu kama kumi hivi wale majirani waliopika wakataka kutunyima chakula eti wakatuambia kilichobaki cha watu walioenda kuchimba kaburi aisee nilimind sema baadae tulipewa tukala baada ya vuta nikuvute ya kutosha
Hahaha wapakuaji wanoko!
 
Hukuwa na uchungu na uho msiba
 
Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
Ukivaa suti lazima ule kwa pozi,jaribu kufuatilia utagundua wengi baada ya harusi wakitoka wanasimama kwenye sehemu za misosi kujazia...
 
Back
Top Bottom