kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #181
Uwe unahudhuria ndugu yanguHapan kiukwel siudhuriii kabisa
Uwe unahudhuria ndugu yanguHapan kiukwel siudhuriii kabisa
Mchango gani shemeji?Tusipitane kimya kimya kwa nzia sasa shemeji... maana mna mchango mkubwa sana nyie wakati fulani fulani
Hahahahhaha amenuna hapa naenda kununua dinner mtaani.......Mchango gani shemeji?
Pole shemeji mbembeleze😁😁Hahahahhaha amenuna hapa naenda kununua dinner mtaani.......
watasema hulagi kwakoKama Wana uwezo wanizuie nisiongeze
Wewe huyo uache kula? Wakati mfukoni unabebaga ndizi mbivu 😂Aibu zingine zinaepukika kabla ya kwenda nakulaga kwanza njiani pale naenda kugusa tu na pia naweza nisile sipendi kupanga folen napenda shereh zile za chakula unaletewa kwa meza