Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

Kujifunze kuridhika uepuke aibu ndogondogo kama hizo,kama unapenda msosi flani na kwenye sherehe umekula hujashiba cha kufanya tenga siku ambayo utakuwa nyumbani kwako kanunue Mazaga mwambie wife akupikie jipakulie kula tani yako sio kulialia kwenye shughuli za watu kwamba hujashiba.
Hakika mkuu, mimi huwa naridhika ila kuna baadhi ya watu naonaga wanajitoa ufahamu wanarudiaga
 
Shemeji mimi sijawahi kuona aibu when it comes to kula, bad enough na shindwa hata kutumia spoon and folk hata nikiwa level ipi.. mimi narudia sana tu muulize best ako Anastasia21 jinsi tulivyo zamia mwezi uliopita pale Sinza mori walitushangaa maana tulikua na kisinia chetu kabisa.
Uwez amin baby tulikimaliza chote sweetie❤️
 
Back
Top Bottom