Hivi ni kwanini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe?

Aibu zingine zinaepukika kabla ya kwenda nakulaga kwanza njiani pale naenda kugusa tu na pia naweza nisile sipendi kupanga folen napenda shereh zile za chakula unaletewa kwa meza
Mimi ili nile kwenye sherehe basi niwe kwenye kamati tofauti na hapo siwezi kapiga kupanga foleni kwa ajiri ya msosi au vinywaji never ever.Upo kama mimi.
 
Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
ni utamaduni wetu unamnyanyapaa mtu anayejionesha mlafi hadharani
 
Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
Ukiona hivyo ujue huyo mtu anajitambua na anajua kesho jua litachomoza.Siyo wewe unakula hadi unabeua kama mbuzi mjane.
 
Wa kuongeza kapatikana
IMG_0945.jpeg
IMG_0944.jpeg
IMG_0943.jpeg
 
Mara nyingi nawaona wajomba na mashangazi waliotokea Ileje huko ndio huwa wanakua mbele kurudia round... vijana wanakua busy kuangalia neema zilizo kuja kwenye sherehe tu na aibu za uoga
 
Na wewe huwa unaona aibu kurudia?
 
Back
Top Bottom