saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 729
- 656
Shemeji mimi sijawahi kuona aibu when it comes to kula, bad enough na shindwa hata kutumia spoon and folk hata nikiwa level ipi.. mimi narudia sana tu muulize best ako Anastasia21 jinsi tulivyo zamia mwezi uliopita pale Sinza mori walitushangaa maana tulikua na kisinia chetu kabisa.Na wewe huwa unaona aibu kurudia?