Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Wapo vizuri aiseeKuna watu wanapenda sherehe alafu siku hizi wamama wana vikundi kwahiyo wakifanya sherehe wanatunzwa
Wapo vizuri aiseeKuna watu wanapenda sherehe alafu siku hizi wamama wana vikundi kwahiyo wakifanya sherehe wanatunzwa
Itapoa😁😁🙌Ngoja nimtume dogo dukani alete chap
🙂
Ndiyo maana hata birthday siku hizi wanafanya bonge shereheWapo vizuri aisee
Hahaha itabidi uinywe bila sukariItapoa
Katika vitu huwa sivielewi ni birthday.Ndiyo maana hata birthday siku hizi wanafanya bonge sherehe
Hata mimi aisee siiwazagi kwa ukubwa naona ni jambo la kumshukuru Mungu na mambo mengine yaendeleeKatika vitu huwa sivielewi ni birthday.
Kabisa 🙂Hata mimi aisee siiwazagi kwa ukubwa naona ni jambo la kumshukuru Mungu na mambo mengine yaendelee
Haijawahi kutokea ulichopewa mwanzo kikawa kidogo haukushiba?Nilichochota mwanzo ni size yangu, sihitaji nyongeza.
Huyo boss wako si angekuomba hata wewe ukamchukulie mbona kajiaibisha kama ni mtu mzima sana,lakini mimi naona hii mambo ya kwenda na foleni pia haipo poa wangeweka utaratibu wa kumpitishia kila mtu mezani kwakeKuna siku tupo kwenye sherehe tunakula biriani na pilau na mikukuz. Ikatangazwa anayetaka kuongeza chakula bado kipo. Bosi wangu akainuka mezani kurudi kwenye bufee kuongeza chakula. Niliona aibu bosi kaniabisha kwa kuongeza chakula. Suala la kuongeza chakula kwenye sherehe/hafla huwa si zuri sana kwa anayejiheshimu na kuheshimiwa utaonekana ni mfakamia vyakula na huwa huli vyakula hivyo nyumbani kwako. Unatakiwa uridhike na ushibe sahani moja tu tena usifike mwisho wa bufee na usijaze sahani utaaibika na kuonekana ni mlafi
Hakika mkuu, kama huku uswahilini kwetu siyo kwa aibu kabisaKuna mazingira hutakiwi kuona aibu kula na kuna mazingira unatakiwa ule kwa adabu
Wapi huko aisee?. Haki hujawahi kuhudhuria sherehe kanda ya ziwa weweHabari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
Huku mjini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula na wakati mchango wametoaWapi huko aisee?. Haki hujawahi kuhudhuria sherehe kanda ya ziwa wewe
Ukitaka kuzoa fedheha, nenda na empted stomach kwenye sherehe za watu.Habari za wakati huu wana jukwaa, swali langu ni hilo hapo juu nimehudhuria sherehe kadhaa utakuta mtu amepakuliwa chakula kidogo amekula na hajashiba linapotolewa tangazo la wanaohitaji kurudia wakaongeze chakula kipo cha kutosha unaweza usione wanaoinuka, shida inakuwaga nini?
Hao ni wanafiki. Usiposhiba rudia chakula hasa nyama/choma na mapochopocho. Sema vyakula vya mjini havina radha ya asili kwa hiyo kukinai ni harakaHuku mjini watu wengi wanaona aibu kuongeza chakula na wakati mchango wametoa
Mimi siwezi kuenda kurudia piga ua 😂😂😂
Unakula kutosheka huko kuongeza minyama choma ni ulafiHao ni wanafiki. Usiposhiba rudia chakula hasa nyama/choma na mapochopocho. Sema vyakula vya mjini havina radha ya asili kwa hiyo kukinai ni haraka