Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Sawa unatakiwa ule kwa kiasi tena kwa heshimahahah mkuu una mambo sasa mda wa kula ni wakula mda wa kuwa na uchungu ni kuwa na uchungu.
Sawa unatakiwa ule kwa kiasi tena kwa heshimahahah mkuu una mambo sasa mda wa kula ni wakula mda wa kuwa na uchungu ni kuwa na uchungu.
Hapana naangalia mtuHatari sana lakini michango si unawapa wote hata kama huendi?
Hapo safiHapana naangalia mtu
Aisee kwenye kula aibu inabidi iwekwe kando aiseeWanaogopa kuitwa heavy feeders
😁😁😁🙌chupa tatu hapo umetupanga bwanaYani eti sherehe unaona aibu aise me sirembagi, hasa kwenye bufee nikipita vikarotikaroti weka, vimatunadmatunda weka, sijui tambi wekaa, nyama jaza mpaka juu, vichapati weka, maji leta chupa 3...
Duh jishikilieYani eti sherehe unaona aibu aise me sirembagi, hasa kwenye bufee nikipita vikarotikaroti weka, vimatunadmatunda weka, sijui tambi wekaa, nyama jaza mpaka juu, vichapati weka, maji leta chupa 3...
haha afu sasa kwa sifa nakula nyama moja tu vingine nawaachia.Duh jishikilie
ata ivyo wanawake mnajuaga kujitoa mhanga unakuta mwanamke mwembamba ana date na jamaa flan iv la mbavu neneWatu hawataki kujitoa muhanga aisee, mimi kwenye kula sinaga aibu kabisa naenda vizuri kukusanya minyama
Uharibifu huo sasahaha afu sasa kwa sifa nakula nyama moja tu vingine nawaachia.
Mh huaribifu tuhaha afu sasa kwa sifa nakula nyama moja tu vingine nawaachia.
Wanawake tumeumbwa kuwa na huruma sana😁😁ata ivyo wanawake mnajuaga kujitoa mhanga unakuta mwanamke mwembamba ana date na jamaa flan iv la mbavu nene
Wakati nasumbuliwa kutwa meseji 10 mchango mchango 😀Uharibifu huo sasa
Mimi waliniadd kwenye group la mchango wa ubatizo wa mtoto waliniondoa mbona, siwezi kuchanga vitu vya kijinga hivyo, ubatizo tu mtu anataka kuweka na shereheWakati nasumbuliwa kutwa meseji 10 mchango mchango 😀
Hahaha ndio utulie sasa unywe hii chai.chupa tatu hapo umetupanga bwana
Hii chai haina sukari hata kooni haipiti😁😁Hahaha ndio utulie sasa unywe hii chai.
Wanawake tumeumbwa kuwa na huruma sana
hahahaha nimecheka duh ila watu wanajua kupiga pesa, hadi ubatizo [emoji1787][emoji1787]Mimi waliniadd kwenye group la mchango wa ubatizo wa mtoto waliniondoa mbona, siwezi kuchanga vitu vya kijinga hivyo, ubatizo tu mtu anataka kuweka na sherehe
Ngoja nimtume dogo dukani alete chapHii chai haina sukari hata kooni haipiti
Kuna watu wanapenda sherehe alafu siku hizi wamama wana vikundi kwahiyo wakifanya sherehe wanatunzwahahahaha nimecheka duh ila watu wanajua kupiga pesa, hadi ubatizo [emoji1787][emoji1787]