garama sio kubwa ndugu yangu kama mpo vizuri kiafya kwani mnaweza kujibebea kila kitu, mkiwa na 200000@ kwa watu 5+mnaweza kufanya safari ya siku 5-6.na ikatosha kila kitu. mwaka 2012 tulifanya safari ya siku 6 kwa sh 45000,kuanzia park fee, transportation,chakula n. k
hii ni bei ya chini sana ndugu yangu. hii ni kwa watu walio wa kakamavu haswa. kwani mnatakiwa ujibebee staff zako ambazo si chini ya 10-12kg. engeza na vitu vidogo vidogo kama 5kg jumla itakua kama 15-17kg, kwakufanya hivyo itaweza kupunguza idadi ya wasaidizi na garama kwa ujumla. asanteOk nashukuru kwa taarifa maana nilikuwa Moshi siku moja nikaambiwa natakiwa kuwa na Tshs 400,000+
Shingapi mkuuGharama ziko juu mno, watu wengi wanatamani sana wapande.
Povu vipi???Acha uongo wewe kinachowafanya wengi kutofika kileleni moja ni woga tu hama kingine juu kabisa kuna creta ambayo imezungukwa kwa pembeni na theluji ambayo jua likiwaka huyeyuka na kutiririsha maji kuelekea chini
Bila shaka wanawake watatusaidia hapa, maana wote walishafikaNi vizuri waliowahi kufika KILELENI watujuze...
Hamna povu mkuu sorry 4 such a reaction!Povu vipi???
Vipimo wanavyotumia kupima urefu wa mlima ni tofauti na umbali utakaotumia kuupanda mlima maana kupima wanapima straight from sea level, ila kuupanda hautokwenda straight kama rocket.huo mlima si kilometa tano tu izo nyongeza zimetoka wapi
Wanasema ni mlima wenye hali ya hewa zote.Habari ndio hiyo. Mlima unaanza na Msitu mnene hadi bare land unavyozidi kupanda.
Sio kweli, washaelezea vizuri hilo humu. Watu washafika.Ukweli wa kwamba kuna usumaku wa kuvuta watu shimoni au hakuna hajulikani kwa sababu hakuna atakayekuruhusu ulisogelee shimo kutokana na hali ya hewa ya pale...Pana Baridi Kari sana na wakati mwingine kuna upepo mkali.
Ikitokea umetumbukia kwenye lile shimo uwezekano wa kutoka ni mdogo sana kuliko kupotelea humo shimoni...kwa kifupi ni hatari kulisogelea shimo.
Hujafika kwenye hilo shimo. Sana sana utakuwa umefikia Shira au Mawenzi au kama umejitahidi sana mwisho wako utakuwa umeishia Kibo tu, ambayo ipo nje na mbali na shimo la Volcano.
Huwa sikisii.
Countingpanafikika vizuri sana data. ila hapa ni mbali kidogo na hilo shimo. nakuahidi nitakuletea picha za hilo shimo vizuri mwezi ujao kwenye tarehe 15/07/2017.na mtaona ukweli.
Mbona tunafika kileleni kila siku, au wewe huwa hufiki? Au hufikishwi?Ni vizuri waliowahi kufika KILELENI watujuze...
nshakatiza mara 2 na ethiopian airline pale ndo kona yaowanasemaga pia ndege hazipiti eneo hilo
Naona huna hoja kuhusu Kilimanjaro sasa unanitafuta binafsi..Duuuu we mbna unapenda kujivua nguo!!!
Acha kuishi kwa kukariri difition za darasani
Ni vizuri waliowahi kufika KILELENI watujuze...
Na mimi unaniruhusu nikutakane kidogo?