Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
garama sio kubwa ndugu yangu kama mpo vizuri kiafya kwani mnaweza kujibebea kila kitu, mkiwa na 200000@ kwa watu 5+mnaweza kufanya safari ya siku 5-6.na ikatosha kila kitu. mwaka 2012 tulifanya safari ya siku 6 kwa sh 45000,kuanzia park fee, transportation,chakula n. k
Ok nashukuru kwa taarifa maana nilikuwa Moshi siku moja nikaambiwa natakiwa kuwa na Tshs 400,000+