Hawa bwana waache kama walivyo, unamuoa akiwa hana mishe hata moja, mbele wala nyuma. Baada ya muda kidogo, siwezi kuwa mama wa nyumbani, nipe mtaji....
Mimi nilipata ninachofanya kwenye ndoa? Usitafute cha kufanya tangu uko kwenu, uje unisumbue mimi ukiwa na meno yako 32? Kweli? Kisha uje uniambie PESA YA MWANAMKE ni ya mwanamke. Kulea hulei tena kisa uko busy, kuchangia gharama za maisha nyumbani hutaki...
Achana nao hao kaka. We fata misaafu inavyozungumza kuhusu wao, ukitaka kuendesha gari kwa kutunga MANUALS zako utaiua gari, fuata ya manufacturer ili gari yako idumu.....soma manuals alizotoa mtengenezaji wa hii dunia, ameelezea kila kifaa na kazi yake mule
[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mama mjengo,🙄🙄Ngoja Tafiti zihusike kwanza.....Nachokupendea Ba mjengo unafungukaga ukweli wote
Mimi napenda sana kuombwa hela japo ni mlala hoiWanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Mim napenda ila ina matokeo yake pesa yanguWanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Sheria zimewekwa ili zivunjwe mkuu.Natamani kuhonga ila sheria za chama zinanibana [emoji4][emoji4]View attachment 1679720
Alitisha kwa kweliSuala sio kuombwa pesa bali timing.
Haiwezekani tu mara tu mkipeana namba masaa machache unaaikia baby nikuambie kitu?
Kuna demu nilionana naye kwa marq ya kwanza aaivyokuwa na aibu akaanza;
Birthday yangu kwasho kutwa naomba pesa ya;
1. Kusuka
2. Viatu
3. Halafu utaandaa chakula hotel flani.
4. Sina ngio nzuri
Pili December nasafiri kwwnda... niandalie ticket ya ndege
Haraka haraka hapa ni zaidi ya 1ml
Hapa hamjafikiana kuwa mtakuwa wapenzi au wachumbq.
Huu ni ufala, kikosa hwkima na aibu.
Kama angeenda hatua kwa hatua angepata zaidivya hizi
Sahihi mzee bbWengi wenye tabia hizo kupitiliza huwa wanatumiwa na kuachwa!
Nynyi muna penda pesa ila kufany tendo unaona kma unatolewa rohoJamani...Sasa kwanini hampendi kuombea hela...
Kama hujiongezi ukatao...LAZIMA UOMBE
Na wasio jiongeza wakatoa wenyewe.?
Upoje lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli ila hizi kauli hawezi kutoa mtu ambaye hata hatma yake ya maisha hajui itakuwaje. Nikupongeze tu kwa baraka ambazo Mungu amekujalia. Mioyo hii wanayo akina Bhakressa tu na watu kama nyie.
Hapa ndo pagumuu.... Kuna mtu nilimuacha sababu alikuwa hajiongezi na mimi kumuomba hapana.... Basi siku moja nikamwambia it's ova.... Akauliza sababu nini, nikamwambia sitoitaja sababu hata unikate miguu... Alilalama weeee nkamwacha aende.Unamuomba
Punguzeni lile neno lenu la kuiga kutoka magharibi kua haki sawa..liacheni hilo na muwe wapoleMbona. Unakasirika wakati ni jukumu la mwanaume kumtunza familia..
KUTUNZA familia hata Chumvi ya 300..lazima nikuombe
Hapa ndo pagumuu.... Kuna mtu nilimuacha sababu alikuwa hajiongezi na mimi kumuomba hapana.... Basi siku moja nikamwambia it's ova.... Akauliza sababu nini, nikamwambia sitoitaja sababu hata unikate miguu... Alilalama weeee nkamwacha aende.
Mlikuwa wachumba tu lakini? Wengine usipowaambia wanauchuna tu nawaoHapa ndo pagumuu.... Kuna mtu nilimuacha sababu alikuwa hajiongezi na mimi kumuomba hapana.... Basi siku moja nikamwambia it's ova.... Akauliza sababu nini, nikamwambia sitoitaja sababu hata unikate miguu... Alilalama weeee nkamwacha aende.