Ajawai kukupa hata Mia?
Hatupendwi kuombwa hela na mademu tusiowapenda, periodWanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
π π π tena mchana kweupe.!!!Waachwe tu, haiwezekani nisikuombe na bado usijiongeze.
Mlikuwa wachumba tu lakini? Wengine usipowaambia wanauchuna tu nawao
Kati ya watu wagumu kwenye kutoa hela ni matajirHio ni kwa sisi maskini tusio na hela mkuu
Kuna kuomba na kuombaomba. Kuombaomba ni tabia mbaya sana.Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Mimi demu wangu ashanijulia akiwa anataka hela afu hana huwa ananianzia mbali kinoma na hasemi direct na huwa haniombi kwa simu akiwa na shida ananifata getto kabsa hata Kama anataka 5kWanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
ππ JamaniNatamani kuhonga ila sheria za chama zinanibana [emoji4][emoji4]View attachment 1679720
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi tukaushiane tu[emoji23][emoji23][emoji23]
ππ Dah!Kama nje ya matuzi haya hakuna unachokifaidi sawa una haki ya kulalama, ila kama unapiga mzigo acha uombwe unakulaje mzigo bure eboo, hujui nawe unaitembeza miles nyingi sana kile kipochi manyoya chao, wakiolewa hawatamainiki mambo ya mutual benefits
ππππMimi demu wangu ashanijulia akiwa anataka hela afu hana huwa ananianzia mbali kinoma na hasemi direct na huwa haniombi kwa simu akiwa na shida ananifata getto kabsa hata Kama anataka 5k
mfano: akiwa na shida ya kutaka kwenda kusuka, utasikia babe nywele zishaanza kuwasha, afu ananiuliza swali vipi babe we unazionaje zishaanza kufumuka?, Anaendelea afu yule msusi sijui yupo?, Lakn ntaenda kusuka week ijayo?, yani ni kuweka gia tu mpaka nijiongeze
Jibu murua kabisa hili.Hatupendwi kuombwa hela na mademu tusiowapenda, period
Adi raha wewe
We huna ela una chenji tu. Mpaka una mnyima demu wako basi humpendi eti unazo afu unamlia buyuMi napenda kuombwa ila sipendi kutoa
Hua naenjoy navyo wafanyia undava yani kibunda kipo ila naamua tu kumlia buyu
Kuna Jamaa yangu ndani alikuwa yeye na Mke wake alichoka kuacha pesa kila Siku mezani akaja na wazo la kuancha kila wiki.Katika wiki ya 1 tu kamuachia 100K baada ya siku 4 aliambiwa hela imeisha-jamaa anasema alijisemesha moyoni kuwa hapa sina Make,ilibidi arudi kwenye utaratibu wake wa awali akawa anaacha kila Siku.Hakuna swali nilikua silipendi Kama mke wangu kuniuliza jioni tunakula mboga gani?,nikaja na solution ya kuwacha pesa ya mwezi mzima mana maswali ya kijinga sitakagi
Inategemea na mwanamke anakuomba pesa kwenye mazingira yapi ni Tabia mbaya mwanamke kuomba pesa sababu umetongozwa huu ni kama utapeliWanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.