Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Kuna kuomba na kuombaomba. Kuombaomba ni tabia mbaya sana.

Tunapenda kutoa kwa hiari na kuombwa kwenye haja ila kuombwaombwa hatupendi.
 
Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Mimi demu wangu ashanijulia akiwa anataka hela afu hana huwa ananianzia mbali kinoma na hasemi direct na huwa haniombi kwa simu akiwa na shida ananifata getto kabsa hata Kama anataka 5k


mfano: akiwa na shida ya kutaka kwenda kusuka, utasikia babe nywele zishaanza kuwasha, afu ananiuliza swali vipi babe we unazionaje zishaanza kufumuka?, Anaendelea afu yule msusi sijui yupo?, Lakn ntaenda kusuka week ijayo?, yani ni kuweka gia tu mpaka nijiongeze
 
Tuna chama chetu ambao hatupendi kuombwa
IMG-20210117-WA0078.jpg
 
Kama nje ya matuzi haya hakuna unachokifaidi sawa una haki ya kulalama, ila kama unapiga mzigo acha uombwe unakulaje mzigo bure eboo, hujui nawe unaitembeza miles nyingi sana kile kipochi manyoya chao, wakiolewa hawatamainiki mambo ya mutual benefits
😀😀 Dah!
 
Mimi demu wangu ashanijulia akiwa anataka hela afu hana huwa ananianzia mbali kinoma na hasemi direct na huwa haniombi kwa simu akiwa na shida ananifata getto kabsa hata Kama anataka 5k


mfano: akiwa na shida ya kutaka kwenda kusuka, utasikia babe nywele zishaanza kuwasha, afu ananiuliza swali vipi babe we unazionaje zishaanza kufumuka?, Anaendelea afu yule msusi sijui yupo?, Lakn ntaenda kusuka week ijayo?, yani ni kuweka gia tu mpaka nijiongeze
😀😀😀😀
Aisee..
 
Mi napenda kuombwa ila sipendi kutoa

Hua naenjoy navyo wafanyia undava yani kibunda kipo ila naamua tu kumlia buyu
We huna ela una chenji tu. Mpaka una mnyima demu wako basi humpendi eti unazo afu unamlia buyu
 
Hakuna swali nilikua silipendi Kama mke wangu kuniuliza jioni tunakula mboga gani?,nikaja na solution ya kuwacha pesa ya mwezi mzima mana maswali ya kijinga sitakagi
Kuna Jamaa yangu ndani alikuwa yeye na Mke wake alichoka kuacha pesa kila Siku mezani akaja na wazo la kuancha kila wiki.Katika wiki ya 1 tu kamuachia 100K baada ya siku 4 aliambiwa hela imeisha-jamaa anasema alijisemesha moyoni kuwa hapa sina Make,ilibidi arudi kwenye utaratibu wake wa awali akawa anaacha kila Siku.
 
Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu?
Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
Inategemea na mwanamke anakuomba pesa kwenye mazingira yapi ni Tabia mbaya mwanamke kuomba pesa sababu umetongozwa huu ni kama utapeli
 
Back
Top Bottom