mwamajinja mapunga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,074
- 609
Basi tumekusikia kwa sasa kila mtoto aliyefyatuliwa kipindi cha mtukufu atapigwa chapa ya magufuli kwenye mkono hasa begani nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui unalolisema....au ubishi tu!takwimu unazo?wakati mwingine kama huna cha kuchangia ni bora usome post za wenzako tu....ushauri uzingatieMbona maambukizi ya TB bado yapo pale pale?
Chanjo ya kifua kikuu! Mbona wanapata huo ugonjwa ukubwani!!!Chanjo ya ndui( bega la kushoto) mara ya mwisho ilichanjwa mwaka 1979....watanzania waliozaliwa miaka ya kuanzia '80 hawana alama hiyo!bega la kulia ni alama ya chanjo ya kifua kikuu!
Sasa mbona unajichanganya! Mara useme hiyo ndui ya bega la kushoto ilichanjwa mwisho miaka ya 70...na ukasema kuanzia miaka ya 80 ilichanjwa chanjo ya Kifua kikuu! Ahhahahahh...Ukienda nchi za wenzako jiheshimu!
Picha ninayoipata ni ya kushangaza sana!tunakizazi ambacho kusoma au kujielimisha hakitaki!utafiti mdogo tu haliwezi!hivi unajua ugonjwa wa ndui ni nin?kati ya mafanikio ya chanjo duniani ni kutokomezwa kwa ugonjwa wa ndui(small pox) mwaka 1978/79!sasa mtu anakurupuka na kuilamu serikali kwa upuuzi wake anaoufanya huko nchi za watu!njia ya kuliondoa hilo kovu kama hulitaki mbona zipo?
Namshukuru Mwl Nyerere kwa ahadi zile za mwana TANU...nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu.....

mimi piaMimi ni mtz na sina hiyo alama hivyo so kila mtz anayo
kwani hakuna uwezekano wa kutoa chanjo isiyoacha alama?Usalama UPI unaongea wewe?
Hii ni moja ya chanjo ktk program ya chanjo za kuzuia mgonjwa wanazochanjwa watoto.
Na baadhi huacha alama ktk mwili.
Shida ni nini hapo.
sisi wa zamani kushotoKwanza sijaona hatari yoyote ya kiusalama hapo, lakini pia Watz wanachanjwa kulia na si kushoto. Pengine wewe si Mtz na unajistukia hahahahah
Nimeuliza, badala ya kunijulisha unakuja na haya mashtaka marefu na kunizodoa, hatuendi hivyo, kama una takwimu za miaka ya kabla na baada ya hiyo sindano ungeziupload tu ili nijisomee na kujionea mwenyewe kulikua na shida gani?Hujui unalolisema....au ubishi tu!takwimu unazo?wakati mwingine kama huna cha kuchangia ni bora usome post za wenzako tu....ushauri uzingatie
Jinsi ulivyonijibu na hii post yako nakufananisha na lecturer wangu mmoja hivi, tabia hizi hizi kitu akiwa anakijua anasahau kua yeye anakijua kwa sababu kipo ndani ya taaluma yake wewe una modules zaidi ya nane na zote inabidi uende nazo sawa....Picha ninayoipata ni ya kushangaza sana!tunakizazi ambacho kusoma au kujielimisha hakitaki!utafiti mdogo tu haliwezi!hivi unajua ugonjwa wa ndui ni nin?.....nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu.....
Chanjo ni muhimu sana kwa afya, ya, watoto wetu sema zamani ilikua Ina utalamu sana ndiomaba ilikua inaacha, lialama
Mm nahisi bega langu wameliaribu kwa chanjo hio
Lakini kwa sasa chanjo hio imeboreshwa, na watoto wetu wanachomwa na kovu halibaki kabisa linapitea
Chanjo ya TB inasaidia mtoto asipate ugonjwa huo au kama akiugua basi isilete madhara makubwa!Chanjo ya kifua kikuu! Mbona wanapata huo ugonjwa ukubwani!!!
Zingine zimekalia kwa wapWasouth wanazo,wamozambique wanazo,wabongo,wakenya pia.mi naona wengi wetu tunazo sema zimetofaitiana sehemu.