Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Basi tumekusikia kwa sasa kila mtoto aliyefyatuliwa kipindi cha mtukufu atapigwa chapa ya magufuli kwenye mkono hasa begani nawasilisha
 
Mbona maambukizi ya TB bado yapo pale pale?
Hujui unalolisema....au ubishi tu!takwimu unazo?wakati mwingine kama huna cha kuchangia ni bora usome post za wenzako tu....ushauri uzingatie
 
Chanjo ya ndui( bega la kushoto) mara ya mwisho ilichanjwa mwaka 1979....watanzania waliozaliwa miaka ya kuanzia '80 hawana alama hiyo!bega la kulia ni alama ya chanjo ya kifua kikuu!
Chanjo ya kifua kikuu! Mbona wanapata huo ugonjwa ukubwani!!!
 
Ukienda nchi za wenzako jiheshimu!
Picha ninayoipata ni ya kushangaza sana!tunakizazi ambacho kusoma au kujielimisha hakitaki!utafiti mdogo tu haliwezi!hivi unajua ugonjwa wa ndui ni nin?kati ya mafanikio ya chanjo duniani ni kutokomezwa kwa ugonjwa wa ndui(small pox) mwaka 1978/79!sasa mtu anakurupuka na kuilamu serikali kwa upuuzi wake anaoufanya huko nchi za watu!njia ya kuliondoa hilo kovu kama hulitaki mbona zipo?
Namshukuru Mwl Nyerere kwa ahadi zile za mwana TANU...nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu.....
 
Sasa mbona unajichanganya! Mara useme hiyo ndui ya bega la kushoto ilichanjwa mwisho miaka ya 70...na ukasema kuanzia miaka ya 80 ilichanjwa chanjo ya Kifua kikuu! Ahhahahahh...

Lazima usimame na kimoja, na lazima usiwe mtu wa kulalama.
 
Lazima usimame na kimoja, na lazima usiwe mtu wa kulalama,Dunia haitakuelewa.
 
Usalama UPI unaongea wewe?

Hii ni moja ya chanjo ktk program ya chanjo za kuzuia mgonjwa wanazochanjwa watoto.

Na baadhi huacha alama ktk mwili.

Shida ni nini hapo.
kwani hakuna uwezekano wa kutoa chanjo isiyoacha alama?
 
Chanjo ni muhimu sana kwa afya, ya, watoto wetu sema zamani ilikua Ina utalamu sana ndiomaba ilikua inaacha, lialama
Mm nahisi bega langu wameliaribu kwa chanjo hio

Lakini kwa sasa chanjo hio imeboreshwa, na watoto wetu wanachomwa na kovu halibaki kabisa linapitea
 
Hujui unalolisema....au ubishi tu!takwimu unazo?wakati mwingine kama huna cha kuchangia ni bora usome post za wenzako tu....ushauri uzingatie
Nimeuliza, badala ya kunijulisha unakuja na haya mashtaka marefu na kunizodoa, hatuendi hivyo, kama una takwimu za miaka ya kabla na baada ya hiyo sindano ungeziupload tu ili nijisomee na kujionea mwenyewe kulikua na shida gani?

Of course sina hizo takwimu kwa sababu kazi zangu hazihusishi mimi kuwa around TB data.

Acha tabia za kishamba mkuu.
 
...Picha ninayoipata ni ya kushangaza sana!tunakizazi ambacho kusoma au kujielimisha hakitaki!utafiti mdogo tu haliwezi!hivi unajua ugonjwa wa ndui ni nin?.....nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu.....
Jinsi ulivyonijibu na hii post yako nakufananisha na lecturer wangu mmoja hivi, tabia hizi hizi kitu akiwa anakijua anasahau kua yeye anakijua kwa sababu kipo ndani ya taaluma yake wewe una modules zaidi ya nane na zote inabidi uende nazo sawa.
 
Mmmh siyo kwelialama bado zipo.
Chanjo ni muhimu sana kwa afya, ya, watoto wetu sema zamani ilikua Ina utalamu sana ndiomaba ilikua inaacha, lialama
Mm nahisi bega langu wameliaribu kwa chanjo hio

Lakini kwa sasa chanjo hio imeboreshwa, na watoto wetu wanachomwa na kovu halibaki kabisa linapitea
 
Chanjo ya kifua kikuu! Mbona wanapata huo ugonjwa ukubwani!!!
Chanjo ya TB inasaidia mtoto asipate ugonjwa huo au kama akiugua basi isilete madhara makubwa!
u
Ukiugua TB basi jua kinga yako dhidi ya ugonjwa huo imeshuka na ndiyo maana siku hizi ukiugua TB tunakupima na HIV pia....sina maana wenye TB wote wana HIV!

Chanjo ziko za aina nyingi!kulikua na magonjwa makubwa 5 ambayo yalisababisha vifo vingi kwa watoto umri chini ya miaka 5 na kutokana na chanjo hizo siku hizi ni nadra kuayasikia na karibu yanatokomezwa(Kifaduro,donda koo,pepo punda nk)
 
Wasouth wanazo,wamozambique wanazo,wabongo,wakenya pia.mi naona wengi wetu tunazo sema zimetofaitiana sehemu.
 
Back
Top Bottom