Hivi ni lini Malalamiko ya Michezo yakashtakiwa kwa Msemaji wa Serikali?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo​

Kwako Dkt. Hassan Abbas

Hatuna shaka kwamba wewe nikiongozi makini na unayefuatilia nakusimamia mambo kwa weledi mkubwa.

Hatuna shaka na Utendaji wako na msimamo wako katika kutetea aki na Maslahi ya vilabu vya soka nchini. Tunakupongeza Sana kwa hilo.

Mh.Katibu Mkuu, DktA.bbas tumelazimika kuandika barua hii ya wazi ikufikie ili walau upate kuangalia kwa ukaribu pia suala hili tutakalo lieleza katika barua hii.

Tunaamini kwa nafasi yako umepata kusikia malalamiko mengi ya Klabu ya Yanga kwenye Shirikisho la Soka Tanzania(TFF). Kwa kipindi kirefu Yanga tumekuwa tukilalamikia masuala mbalimbali lakini TFF imekuwa ikiyapuuza na kunyima haki ya Klabu yetu kwa sababu ambazo haziwekwi wazi.

Hatuna sababu ya kukuandikia mlolongo wa kesi tangu msimu uliopita, lakini lengo la barua hii ya Wazi kwako ni kuomba ulitupie macho Sakata la Mkataba wa Mchezaji Raia wa Ghana Bernard Morrison na Simba SC ambao sisi kama klabu tumeuona una mapungufu makubwa ya kuufanya kuwa sio halali.

Oktoba1,2020,tukiwa kama wadau kwenye soka la Tanzania, tulipeleka malalamiko yetu TFF juu ya usajili uliokiuka kanuni za Mchezaji MORRISON katika Klabu ya Simba.

Kwani Mkataba uliopo haukuwa na saini za upande wa Klabu jambo ambalo nikinyume na kanuni za usajili za TFF. Lakini tangu wakati huo, hadi sasa TFF imekaa kimya na zaidi wanawatishia viongozi wetu kuwafungia juu ya Suala hilo.

Kwa barua hii, tunaomba mkono wa Serikali katika hili na tunaamini ofisi yako kupitia watendaji wako au wewe mwenyewe unaweza kulifuatilia na kutoa majibu kwa wadau kama Serikali kwakuwa Serikali yetu haipendi kuona uonevu na imejipambanua katika kusimamia haki.

Ahsante Sana
Wako watiifu
Wanachama wa Yanga SC

Chanzo: yangawhatssap_makao makuu

========

Hivi Yanga SC kupitia Wasemaji wenu wa hovyo hovyo, wanaogombana na wasiopendana kila Siku Hassan Bumbuli na Antony Nugaz bila kumsahau Makamu Mwenyekiti wenu Tumbo Tumbo Fredrick Mwakalebela si mlituaminisha kuwa mmeshaishtaki Simba SC huko CAS na kwamba Kibano kinaenda Kutuangukia na Morisson hatocheza? Sasa mbona leo mnakimbilia tena Serikalini ambapo hata Kisheria tena zile za FIFA hazitaki mambo ya Mpira kupelekwa Serikalini? Mkiambiwa hamna Akili mnanuna.

Na kama hamna matokeo hadi hivi sasa ya huko Arusha ni kwamba Simba SC tunaongoza kwa Goli 7 kwa 0 dhidi ya Coastal Union. Watakoma leo!
 
Huyo Si waziri mwenye dhamana ya michezo?
Au ulidhani ujenzi?
 
Ni Waziri anayewakilisha Serikali au Makalio yako tu yaliyopinda kama Kona za Mto Wami? Je, FIFA inaruhusu Malalamiko yake kwenda Serikalini?
Majitu kama wewe yenye ubongo mfupi kama mavi ya asubuhi huwa yanajifanya yanajua sana..

Hujajibu swali huyo ni waziri wa sekta gani?
 
Swala la mkataba wa Morrison Tff watendaji wake wanahusika kwakua mkataba wa Morrison uliopo Tff ni uleuleMorison alio kuanao wakati yupo Yanga, walicho fanya Simba wali u upload wakaupeleka Tff. Yanga wamesha tambua ilo ndio maana wanataka lijadiliwe mapema kabla ya dirisha dogo kufunguliwa maana Simba watapta nafasi ya ku ubadiliaha. Hilo linaonyesha Tff inashirikiana na Simba katika uovu mwingi na wa wazi.
 
Majitu kama wewe yenye ubongo mfupi kama mavi ya asubuhi huwa yanajifanya yanajua sana..

Hujajibu swali huyo ni waziri wa sekta gani?

Jaribu kufuatilia mambo basi! FIFA hairuhusu masuala ya Football kuingiliwa na Serikali. Au unadhani FIFA haijui kuwa kila nchi ina Wizara na Waziri wa michezo? Lakini haruhusiwi kuingilia chochote kuhusu mpira! Na ndiyomana wakati Kikwete akiwa Raisi hakuweza kushiriki chochote kuhusu Yanga bali alimtumia mwanae Ridhiwani.
 
Bahati mbaya tu Kwako huyo unayejitahidi Kumuelimisha hapo ni Mpumbavu wa Asili hivyo sidhani kama Ufafanuzi wako huu Kuntu atauelewa pia.

pancho boy
 
Huyo jamaa me sijawahi kumwelewa hata siku moja.
Msameh tu, mungu anamuona.
Majitu kama wewe yenye ubongo mfupi kama mavi ya asubuhi huwa yanajifanya yanajua sana..

Hujajibu swali huyo ni waziri wa sekta gani?
 
Huyo jamaa me sijawahi kumwelewa hata siku moja.
Msameh tu, mungu anamuona.
Na katika Maisha yangu yote sijawahi Kueleweka na Majuha hivyo basi ningeshangaa na kusikitika kama leo hii hata Wapuuzi nanyi mngenielewa.
 
Jaribu kufuatilia mambo basi! FIFA hairuhusu masuala ya Football kuingiliwa na Serikali. Au unadhani FIFA haijui kuwa kila nchi ina Wizara na Waziri wa michezo? Lakini haruhusiwi kuingilia chochote kuhusu mpira! Na ndiyomana wakati Kikwete akiwa Raisi hakuweza kushiriki chochote kuhusu Yanga bali alimtumia mwanae Ridhiwani.
Still bado ridhiwani alikuwa kwenye payroll ya serikali..
Ishu inabaki pale pale bado huyo ni waziri wa michezo ana dhamana ya michezo na Sana'a..
Mbona basi anavyowasema kina diamond kwa kutoa nyimbo zisizo na maadili hamsemi kuwa anaingilia majukumu sio yake?

Ama wizara inahusika kwenye burudani tu mkuu? Ila kwenye soka.ni FIFA?
Chama kilichojaa kashfa za rushwa na uhuni mwingi?
 
Acha ubishi kwa Mambo ambayo tayari yapo kwenye Sheria.

Umewahi kusikia kuwa kuna chama cha waimbaji duniani? Sasa hao kina Diamond wanasimamiwa na nani Duniani?

Unajua kwanini Raisi hana mamlaka wala Jeuri ya Kumtengua Raisi wa TFF?

Kwaulize Cameroon na Sudan Serikali ilipoingilia Football, walipigwa Ban kushiriki mashindano yote ya Kimataifa kuanzia Club bingwa Afrika, Shirikisho, AFCON, CHAN, WORLD CUP na International friendly zote zilizopo kwenye Ratiba ya FIFA.
Na Ligi Kuu yenu haitotambuliwi na washindi hawatoshiriki mashindano ya Kimataifa.

Jaribu kufuatilia ndugu FIFA kwenye sheria zake ni Marufuku kwa Serikali yoyote kuingilia mpira wa Miguu. Hao kina Diamond na Wacheza Rede hawana Vyama vya kimataifa vinavyowasimamia wala hawana Sheria na Kanuni yoyote inayowaongoza ndiyomana hata Bongo Movie haina Kanuni yoyote zaidi ya kukokotwa na BASATA wakaishia kuimba mapambio.

Lakini FIFA wana sheria zao za kimataifa tena zina nguvu kuliko unavyodhani ndiyomana wanaweza kuishusha Daraja Timu yoyote na Nchi yoyote ile.

Unakumbuka Sakata la MORRISON? Mwakembe aliufyata na kuishia kulalamika kwa Maredio na TV tu lakini hakuthubutu kutia neno na Uwaziri wake.
 
Sawa bwana kwa ubishi huwa hushindwi.

Tumekubali
 
Back
Top Bottom