Ilimtisha mpaka Baba wa TaifaG55 ilikua ngoma nzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilimtisha mpaka Baba wa TaifaG55 ilikua ngoma nzito
Hili ni bunge la machawa, tofautisha na mabunge ka kidemokrasiaHili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
😂😂😃 Ni disgusting 🤢 sanaHili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Huu ni ugonjwa na ugonjwa huu unapatikana Tanzania.
Jina la Ugonjwa: Upeo mdogo, uelewa mdogo, kukosa exposure, kuwaza burebure, kutegemea mtu kukuweka ulipo na si uwezo na akili yako.
Tiba: Kuachana na CCM na wananchi kuchukua full control ya nchi kwa kufanya mapinduzi ya kiraia.
Hadi kikaandikwa kitabu kutema nyongoIlimtisha mpaka Baba wa Taifa
WABUNGE WA HOVYO HUFANYA HIVYO WANASAHAU RAIS NI MUHIMILI UNGINE NA WAO NI MUHIMILI MWINGINE BORA WANGEMSIFIA SPIKA WAOHili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Wewe mwongoooooo Kwa hilo, wa Tanzania ndiyo wako hivyo tangu zama zileeeee. Kwani zidumu fikra za mwenyekiti zilianza lini?
Na yule mzee aliyebadiri jina kutoka John na kuwa Jumanne si ilikuwa kumaifu Rais?
Tumekwambia mbunge yeyote asiye na AKILI hasemwi na watu kwamba hana AKILI anajisema mwenyewe kwa matendo yake bungeni.kumbe kustahili kuwepo bungeni au kutostahili ni mbunge anatuambia yy mwenyewe.Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Huu ni ugonjwa na ugonjwa huu unapatikana Tanzania.
Jina la Ugonjwa: Upeo mdogo, uelewa mdogo, kukosa exposure, kuwaza burebure, kutegemea mtu kukuweka ulipo na si uwezo na akili yako.
Tiba: Kuachana na CCM na wananchi kuchukua full control ya nchi kwa kufanya mapinduzi ya kiraia.
Sifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Hii kitu imetamalaki sana, kila kiongozi kawa chawa wa Rais, wao ni kusifia tu hata sehemu ambako hazistahili. Hawajiamini au wanaogopwa kuliwa vichwa hii ni dalili mbaya sana. Hawawezi kutoa mawazo yao kwa uhuru lazima waseme Rais na serikali ya awamu ya 6 blah blah
Hahahahahaha. Huu ndio mchango wangu.Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
"kUJIPENDEKEZA" Nakubaliana nawe..Watanzania wanaishi kinafki,uchawa,kujipendekeza tu
Ova