Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dalili za kuja Bwana Yesu. Muda unafupishwa ili wengi waingie Mbinguni. Muda ukiwa mrefu wengi watakosa MbinguSalamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada.
Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine.
Hebu just imagine mtu kama Magufuli 2015 aligombea urais akashinda then akaongoza miaka mitano, then akagombea 2020 akashinda na akaongoza miaka miwili then akafariki. Sasa kinachonishangaza mimi toka hiyo 2015 mpaka leo it sounds like juzi tu. Ile moment ya uchaguzi wa ccm na ukawa kisaikolojia kwangu hainijii kichwani kama ni moment ya miaka nane iliyopita but inasound kama ni mwaka juzi flani hivi.
Halafu Kuna moment zingine huwa zinanifikirisha personally na kuona kama nyakati zinakimbia sana tofauti na fikra zangu, kwa mfano nikiwa nasoma Sekondari msimu wa 2003/2004 timu ya Arsenal ilibeba kombe la ligi kuu Uingereza. Hii moment naikumbuka sana kwa sababu Arsenal ni timu yangu pendwa. Kitu cha ajabu kwangu kichwa changu kinashindwa ku make sense kama ile 2003/2004 mpaka leo ni miaka ishirini imepita. Sometime huwa naona kama hii dunia ina short spani, imekuwaje miaka ishirini inasound muda mfupi kiasi hicho wakati miaka ishirini iliyopita kumbe ni kama juzi tu.
Hii sijajua kwa wengine lakini mimi binafsi nikilala usiku let say masaa 7 au 8. Nikishalala usingizi na kuamka asubuhi na feel kama nimelala masaa mawili, in short usiku pia naona kama unakua mfupi sana. Halafu pia hata mchana nikienda kazini, nikipiga mishe mishe na kufika jioni kurudi nyumbani na feel kama huko job sijakaa muda mrefu sana, in short nahisi kama siku pia inakua fupi sana....... Pia kutoka jumatatu mpaka ijumaa siku zinaenda kwa spidi, yaani jumatatu inaikamata ijumaa haraka sana. Halafu pia weekend (jumamos na jumapili) inaisha haraka pia. Hata weekend inaisha then kuikamata jumatatu kwenda ijumaa nayo inaisha haraka sana.
Wakuu hivi hili jambo ni kwa nini? Hivi ni mimi tu huwa nali observe hili jambo?
Kuona miaka inakimbia sana ni dalili ya uzee.Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada.

Mkuu hii point nimeielewa nakumbuka mimi chuo miaka mitatu nahisi nilikuwa nimekaa muda mrefu chuoni.... Kuna mtoto wa dada yangu niliambiwa kamaliza chuo mwaka jana nilishangaa iweje amemaliza chuo wakati juzi tu alikuwa form fourasilimia kubwa ya wanao experience hichi miaka kwenda taratibu ni wale ambao wapo under pressure na mda. kwa mfano, wanafunzi, wanavyuo, wafungwa, n.k.
ukiwa under pressure na mda lazima tu kuna tafsiri zitapelekwa kwenye ubongo, (wataalam wanafaham) na kupelekea hyo hali. kwa mfano, ukiwa unasafari unayoipenda sana, may be ndio mara ya kwanza kupanda ndege, utatamani pakuche lakini kila ukiamka utaona mda bado.
kwa ufupi tu naona mda wa kueleza nakosa.
Kilomita zimekata mkuuUmri unakwenda ba mdogo
Kuona miaka inakimbia sana ni dalili ya uzee.
Ukiwa na miaka miwili, mwaka mmoja ni nusu ya maisha yako, 50% ya maisha yako, hivyo utauona mwaka mmoja ni mrefu sana.
Ukiwa na miaka 100, mwaka mmoja ni 1/100 ya maisha yako, 1% tu.
Jinsi unavyozidi kuzeeka ndivyo miaka inavyoonekana kwenda kwa kasi zaidi.
Hakuna mtoto anayesema mwaka
Kweli mkuu mtoto wa mwaka mmoja anaona mwaka juzi ni kitambo sanaKuona miaka inakimbia sana ni dalili ya uzee.
Ukiwa na miaka miwili, mwaka mmoja ni nusu ya maisha yako, 50% ya maisha yako, hivyo utauona mwaka mmoja ni mrefu sana.
Ukiwa na miaka 100, mwaka mmoja ni 1/100 ya maisha yako, 1% tu.
Jinsi unavyozidi kuzeeka ndivyo miaka inavyoonekana kwenda kwa kasi zaidi.
Hakuna mtoto anayesema mwaka huu umepita kwa kasi sana. Hizi ni tabia za watu wanaoelekea au walio kwenye uzee.
Kweli mkuu biblia ilishatabiriDalili za kuja Bwana Yesu.Muda unafupishwa ili wengi waingie Mbinguni.Muda ukiwa mrefu wengi watakosa Mbingu
Uko sahihi Kaka, mimi leo nilikuwa naangalia picha za 2016 ni kama juzi tu na sijaona tofauti yoyote na sasa. Pia mwaka huu 2023 ni kama tumeuanza mwezi jana tu hata nikipita katika records book yangu ya kikazi.Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada.
Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine.
Hebu just imagine mtu kama Magufuli 2015 aligombea urais akashinda then akaongoza miaka mitano, then akagombea 2020 akashinda na akaongoza miaka miwili then akafariki. Sasa kinachonishangaza mimi toka hiyo 2015 mpaka leo it sounds like juzi tu. Ile moment ya uchaguzi wa ccm na ukawa kisaikolojia kwangu hainijii kichwani kama ni moment ya miaka nane iliyopita but inasound kama ni mwaka juzi flani hivi.
Halafu Kuna moment zingine huwa zinanifikirisha personally na kuona kama nyakati zinakimbia sana tofauti na fikra zangu, kwa mfano nikiwa nasoma Sekondari msimu wa 2003/2004 timu ya Arsenal ilibeba kombe la ligi kuu Uingereza. Hii moment naikumbuka sana kwa sababu Arsenal ni timu yangu pendwa. Kitu cha ajabu kwangu kichwa changu kinashindwa ku make sense kama ile 2003/2004 mpaka leo ni miaka ishirini imepita. Sometime huwa naona kama hii dunia ina short spani, imekuwaje miaka ishirini inasound muda mfupi kiasi hicho wakati miaka ishirini iliyopita kumbe ni kama juzi tu.
Hii sijajua kwa wengine lakini mimi binafsi nikilala usiku let say masaa 7 au 8. Nikishalala usingizi na kuamka asubuhi na feel kama nimelala masaa mawili, in short usiku pia naona kama unakua mfupi sana. Halafu pia hata mchana nikienda kazini, nikipiga mishe mishe na kufika jioni kurudi nyumbani na feel kama huko job sijakaa muda mrefu sana, in short nahisi kama siku pia inakua fupi sana....... Pia kutoka jumatatu mpaka ijumaa siku zinaenda kwa spidi, yaani jumatatu inaikamata ijumaa haraka sana. Halafu pia weekend (jumamos na jumapili) inaisha haraka pia. Hata weekend inaisha then kuikamata jumatatu kwenda ijumaa nayo inaisha haraka sana.
Wakuu hivi hili jambo ni kwa nini? Hivi ni mimi tu huwa nali observe hili jambo?
Mimi pia nimeanza 2013 mkuu, ten yrs nowSasa mkuu shangaa kidogo
2013 ndo nimeajiriwa rasmi baada ya kumaliza chuo 2012. Mpaka leo nashindwa kuamini km nimefanya kazi miaka 10
Hope you're well bro. 🙏Hii ni KWELI kabisa! Maana wanasema ukipata matatizo siku haziendi lakini naona tofauti kwa Sababu mwaka jana Julai nilipata Ajali iliyoniacha vibaya lakini kipindi chote hicho siku zimetembea hatari.
Mkuu just imagine Magufuli mpaka anafariki ameongoza kama miaka saba, kiti cha urais amekikalia miaka saba. Mi records zangu kichwani zina sense kama aliongoza miaka mitatu then akafarikiUko sahihi Kaka,mimi leo nilikua naangalia picha za 2016 ni kama juz tu na sijaona tofauti yoyote na sasa. Pia mwaka huu 2023 ni kama tumeuanza mwezi jana tu hata nikipita katika records book yangu ya kikazi.
Niko vizuriHope you're well bro. 🙏
Kwahiyo hata stop watch timer nayo inakimbia zaidi?Mbona vitabu vya dini vimeandika haya
Ni maandiko yanatimia mkuu, haihitaji elimu yeyote ya ziada kujua kwamba miaka inaenda haraka Sana
Zamani ilikuwa kuumaliza mwaka ni shughuli pevu ila sasa Hadi unashangaa
Sad enough haya mabadiliko yanatokea kwa ghafla sana
Mkuu haya maisha we acha tu. Mimi huwa naona sina maisha mazuri lakini bado najipa hope kwamba one day nitatoboa, lakini kuna mshikaji tena close friend ni mbunge. Sasa huwa najiuliza huyu jamaa ni mbunge wakati juzi kati tulikua tunakunywa wote uji secondaryMkuu Acha tu, nina mawili:
1. Juzi kuna katoto ka dada yangu nilikatandika bakora baada ya kukakuta kametoroka darasani (alikuwa darasa la tatu) na kwenda kupopoa maembe kwenye miembe ya kijijini ambayo ilikuwa inakatazwa kufanya hivyo na kjjiji chenyewe. Leo, kamekuja kunitembelea likizo hii eti kako kidato cha tatu (form 3). Mshangao nilioupara sio wa nchi hii.
2. Nina rafiki tulikuwa pamoja chuo ingawa kozi tofauti. Tunahangaika na maisha haya mkoa mmoja wilaya tofauti, tulikutana katika sherehe za mkoa za mei mosi. Wakati wa zawadi nikasikia jina lake kama mkuu bora wa shule.....nikashangaa. Baadae nikamuuliza kwani umeshakuwa mkuu wa shule?!!! Akanijibu ndiyo amekuwa hivyo kwa miaka mitano sasa.....nikaduwaa nikijua ananidanganya maana ni juzi tu tumetoka chuo. Mh, nilipojadiliana nae muda tuliomaliza chuo kumbe ni 2013.....eti imeshapita miaka 10. Serious?!!!! Ile juzi imeshakuwa 10 years?!!!!!!!!! Hapana aisee.?.