Hivi ni mimi tu naona kama miaka inakimbia sana(nyakati zinapita haraka sana)

Kwakweli muda unakimbia kupita maelezo Hata kama ndo majukumu ila hapana muda unakimbia sana
Watu wanajitoa ufahamu na theory zao mara majukumu mara unazeeka ila wala haihitaji akili ya ziada au mtu akuelekeze,

Muda unaenda isivyo Kawaida, yaani ni mchaka mchaka,
 
Majukumu ndiyo yanakufanya uone muda unaenda,nyakati zile ulikuwa ukiwaza kuhusu sikukuu,kuvaa nguo mpya,kutoka na marafiki na kufurahi bila kujali muda, Sasa hivi umeingia katika majukumu ni lazima muda uende sana sababu mambo ni mengi yanakusubiri na huwezi kuyamaliza kiivyo.
 
Time heist generation, kuna kitu hakipo sawa wakuu muda unakimbia spidi ya jet ,
nashangaa watu humu wanasema majukumu ila kuna kitu hakipo sawa katika mfumo wa ulimwengu kama Matrix hivi!
akili yangu inanifanya niamini kuna programu za ajabu mosi watu hawazeeki kabisa,wazee ndio walewale kina Mopao Kofii Olomide,mzee Warioba,Wasira,kikwete,Mwinyi sr, kina
babu wa instagram na Zahir Zoro nao wameganda tu ajabu vitoto vya 2000 na kuendelea vinakua kasi ya mianzi na uyoga

Weird!
 
Mi nakubaliana na wewe sio majukumu tu…juzi nimekaa na last born wetu anajishangaa kamalizaje form 6 anajiandaa kwenda chuo sasa km huyu ana jukumu gani zaid ya kusoma na kuna mtu kule kasema ukisoma unaona mda unaenda slow…
Muda unakimbia sana kwenye hii Era
 
Time heist generation, kuna kitu hakipo sawa wakuu muda unakimbia spidi ya jet ,
nashangaa watu humu wanasema majukumu ila kuna kitu hakipo sawa katika mfumo wa ulimwengu kama Matrix hivi!
akili yangu inanifanya niamini kuna programu za ajabu mosi watu hawazeeki kabisa,wazee ndio walewale kina Mopao Kofii Olomide,mzee Warioba,Wasira,kikwete,Mwinyi sr, kina
babu wa instagram na Zahir Zoro nao wameganda tu ajabu vitoto vya 2000 na kuendelea vinakua kasi ya mianzi na uyoga

Weird!
Au ndio ujio wa annunaki?
 
Basi tumetofautiana.

Binafsi naona siku zinakwenda taratibu mno.

Maana nimeset Goals kadhaa za siku zijazo, nasubiri muda ufike ili nizitekeleze.. Naona kama niko kwenye waiting Mode, na kupelekea kuona siku zinachelewa kusogea.

Kumbe kuna watu mnaona siku zinakimbia?
 
Dah matukio ya 2004 nayaona kama juzi tu eti leo ni miaka takribani 20. Amazing
Mkuu kwa sasa mimi ni mtu mzima sana. 2004 nilikua nasoma Sekondari but 2004 naiona kama juzi tu maana nadhani hata nikienda hiyo shule niliosoma ntawakuta walimu walionifundisha.
 
Nadhani ndio maana watu sahv wana miaka mingi ila wapo kama watoto 😄
 
Basi tumetofautiana.

Binafsi naona siku zinakwenda taratibu mno.

Maana nimeset Goals kadhaa za siku zijazo, nasubiri muda ufike ili nizitekeleze.. Naona kama niko kwenye waiting Mode, na kupelekea kuona siku zinachelewa kusogea.

Kumbe kuna watu mnaona siku zinakimbia?
Lakini pia kuna uwezekano ww utakua na umri mdogo kwa coz watu wengi hapa wamedai watu wenye umri mdogo km wanachuo ck kwao zinaenda taratibu, wamedai hata watu km wafungwa gerezan pia ck zinaenda taratibu
 
Mkuu kwa sasa mimi ni mtu mzima sana. 2004 nilikua nasoma Sekondari but 2004 naiona kama juzi tu maana nadhani hata nikienda hiyo shule niliosoma ntawakuta walimu walionifundisha.
Hutowakuta maana miaka ya kustaafu pia inaenda kasi. Hili suala la miaka kukimbia sana ni real. Just imagine 2010 world cup south africa au Kikwete anachaguliwa second term nayo ni miaka 13 iliyopita.
 
Mwambieni mwenye thread atafute hela.. stress zitaisha, tafuta hela, tafuta ajira nzuri. Utaona siku haziendi.
vice versa is true, ana hela thus why anaona siku zinatembea fasta, kosa kazi, hela na upande wa mahusiano yako uwe na mwanamke kivuruge haloo!
Siku moja kupita kwako ni kama mwaka.
 
Hutowakuta maana miaka ya kustaafu pia inaenda kasi. Hili suala la miaka kukimbia sana ni real. Just imagine 2010 world cup south africa au Kikwete anachaguliwa second term nayo ni miaka 13 iliyopita.
Mkuu ukitaka ujue 2010 world cup ni muda mrefu, chunguza kikosi cha Spain kilichochukua ubingwa utagundua kwamba asilimia kubwa ya wachezaj wa ile timu washastaafu... Wale ambao walikua ndio makinda kwenye ile timu sasa hiv ndo wanamalizia mpira
 
Alisema Mtume wa Mwenyezi Mungu Rehema na Amani zimshukie;
Qiyama hakitosimama mpaka zama zikurubiane, Mwaka uwe kama mwezi na mwezi uwe mfano kama wiki na wiki nayo iwe kama siku na siku iwe kama saa na kutakuja zama ambao mwaka utakua kama mwezi na mwezi utakuwa kama wiki na wiki itakua kama siku nayo siku iwe kama saa moja nayo saa moja iwe kama kuchoma jani kavu.
 
Mkuu ukitaka ujue 2010 world cup ni muda mrefu, chunguza kikosi cha Spain kilichochukua ubingwa utagundua kwamba asilimia kubwa ya wachezaj wa ile timu washastaafu... Wale ambao walikua ndio makinda kwenye ile timu sasa hiv ndo wanamalizia mpira
Kwenye mpira watu wanastaaf bado wakiwa na nguvu. Imagine 33 anaitwa babu huku akipewa pressure ya kustasfu.
 
Hebu fanya jaribio moja....! Tafuta chumba weka kila kitu muhimu. chakula vinywaji, jifungie humo week nzima kusiwe na TV wala simu, wala kifaa chochote kitakachokufanya uwe busy....! Bado ukiona kama siku zinakimbia basi zitakua zinakimbia kweli, tofauti na hapo ujue tu ya kwamba binadamu siku hizi tuna vitu vingi mno vya kufanya tuwe busy, hapo lazima uone time inakimbia km upepo
 
Back
Top Bottom