sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 304
- 579
Watu wanajitoa ufahamu na theory zao mara majukumu mara unazeeka ila wala haihitaji akili ya ziada au mtu akuelekeze,Kwakweli muda unakimbia kupita maelezo Hata kama ndo majukumu ila hapana muda unakimbia sana
Mi nakubaliana na wewe sio majukumu tu…juzi nimekaa na last born wetu anajishangaa kamalizaje form 6 anajiandaa kwenda chuo sasa km huyu ana jukumu gani zaid ya kusoma na kuna mtu kule kasema ukisoma unaona mda unaenda slow…Time heist generation, kuna kitu hakipo sawa wakuu muda unakimbia spidi ya jet ,
nashangaa watu humu wanasema majukumu ila kuna kitu hakipo sawa katika mfumo wa ulimwengu kama Matrix hivi!
akili yangu inanifanya niamini kuna programu za ajabu mosi watu hawazeeki kabisa,wazee ndio walewale kina Mopao Kofii Olomide,mzee Warioba,Wasira,kikwete,Mwinyi sr, kina
babu wa instagram na Zahir Zoro nao wameganda tu ajabu vitoto vya 2000 na kuendelea vinakua kasi ya mianzi na uyoga
Weird!
Au ndio ujio wa annunaki?Time heist generation, kuna kitu hakipo sawa wakuu muda unakimbia spidi ya jet ,
nashangaa watu humu wanasema majukumu ila kuna kitu hakipo sawa katika mfumo wa ulimwengu kama Matrix hivi!
akili yangu inanifanya niamini kuna programu za ajabu mosi watu hawazeeki kabisa,wazee ndio walewale kina Mopao Kofii Olomide,mzee Warioba,Wasira,kikwete,Mwinyi sr, kina
babu wa instagram na Zahir Zoro nao wameganda tu ajabu vitoto vya 2000 na kuendelea vinakua kasi ya mianzi na uyoga
Weird!
Anunnaki hawaexist dunia ya leo ni lost civilization!Au ndio ujio wa annunaki?
Mkuu kwa sasa mimi ni mtu mzima sana. 2004 nilikua nasoma Sekondari but 2004 naiona kama juzi tu maana nadhani hata nikienda hiyo shule niliosoma ntawakuta walimu walionifundisha.Dah matukio ya 2004 nayaona kama juzi tu eti leo ni miaka takribani 20. Amazing
Lakini pia kuna uwezekano ww utakua na umri mdogo kwa coz watu wengi hapa wamedai watu wenye umri mdogo km wanachuo ck kwao zinaenda taratibu, wamedai hata watu km wafungwa gerezan pia ck zinaenda taratibuBasi tumetofautiana.
Binafsi naona siku zinakwenda taratibu mno.
Maana nimeset Goals kadhaa za siku zijazo, nasubiri muda ufike ili nizitekeleze.. Naona kama niko kwenye waiting Mode, na kupelekea kuona siku zinachelewa kusogea.
Kumbe kuna watu mnaona siku zinakimbia?
Hutowakuta maana miaka ya kustaafu pia inaenda kasi. Hili suala la miaka kukimbia sana ni real. Just imagine 2010 world cup south africa au Kikwete anachaguliwa second term nayo ni miaka 13 iliyopita.Mkuu kwa sasa mimi ni mtu mzima sana. 2004 nilikua nasoma Sekondari but 2004 naiona kama juzi tu maana nadhani hata nikienda hiyo shule niliosoma ntawakuta walimu walionifundisha.
Hyo pia ni sababu mkuu. Mi nashangaa wazee wa ck hz wana mambo ya ajabu tofauti na wazee wa zamanNadhani ndio maana watu sahv wana miaka mingi ila wapo kama watoto 😄
Matusi niliyokuwa nayatoa ningali shule eti yamegoma kutoka kinywani. Ajabu kweliNadhani ndio maana watu sahv wana miaka mingi ila wapo kama watoto 😄
vice versa is true, ana hela thus why anaona siku zinatembea fasta, kosa kazi, hela na upande wa mahusiano yako uwe na mwanamke kivuruge haloo!Mwambieni mwenye thread atafute hela.. stress zitaisha, tafuta hela, tafuta ajira nzuri. Utaona siku haziendi.
Mkuu ukitaka ujue 2010 world cup ni muda mrefu, chunguza kikosi cha Spain kilichochukua ubingwa utagundua kwamba asilimia kubwa ya wachezaj wa ile timu washastaafu... Wale ambao walikua ndio makinda kwenye ile timu sasa hiv ndo wanamalizia mpiraHutowakuta maana miaka ya kustaafu pia inaenda kasi. Hili suala la miaka kukimbia sana ni real. Just imagine 2010 world cup south africa au Kikwete anachaguliwa second term nayo ni miaka 13 iliyopita.
Kwenye mpira watu wanastaaf bado wakiwa na nguvu. Imagine 33 anaitwa babu huku akipewa pressure ya kustasfu.Mkuu ukitaka ujue 2010 world cup ni muda mrefu, chunguza kikosi cha Spain kilichochukua ubingwa utagundua kwamba asilimia kubwa ya wachezaj wa ile timu washastaafu... Wale ambao walikua ndio makinda kwenye ile timu sasa hiv ndo wanamalizia mpira