Hapo ndo wafrika tunapokwama.Mungu ni alfa na omega! Hapangiwi cha kufanya au namna ya kufanya. Wewe unataka kum-contain Mungu kuendana na matakwa yako? Huyo si Mungu.
Hizo sio story kaka. Mungu wa Yakobo ndiye Mungu.Hapo ndo wafrika tunapokwama.
Chochote tunachoambiwa na weupe tunakipokea vilevile kilivyoletwa bila kufanya utafiti wowote wa kueleweka.
Lakin story za aina hii wewe mwafrika au mtu mweusi usingeweza kuzipeleka huko Israel, Uingereza, Italy na kwengineko wakazikubali bila kuwaonesha fact wanayoweza kuiona kwa macho.
Wengine wanasema lugha ya Mungu ni moja tu Kiarabu, sasa unajiuliza hizi lugha nyingine zimekujaje kujaje na nani aliewapa watu uwezo wa kuongea lugha tofauti?
Hizi dini zilizoletwa hizi na weupe katika ukoloni.... 😷😷😷
Ki ukweli ukiitizama Jiografia ya nchi ya Uingereza kutawala nusu na robo ya dunia yote ikiwemo USA, Canada, Australia, New Zealand nk. Hii ilikuwa ni akili kubwa kuliko ukubwa wenyewe.Kurahisisha utawala wakoloni walizingatia pia mila na desturi mahalia. Walijua waki-group chiefdoms walizozikuta katika makundi fulani (Kenya vs Uganda; Zambia vs Malawi vs Zimbabwe vs Botswana) utawala kwao ungekuwa rahisi among other key factors.
Kutawala kutokea London na bado order ikaweza kufika makoloni yote duniani hadi India na Pakistan ilihitaji akili kubwa!
Ukipewa umonitor wa darasa unaweza kukushinda sembuse kutawala ma-bushmen yasiyo na akili!
Nashukuru umeelewa. Wewe ni kati ya waungwana sana humu jf.Ki ukweli ukiitizama Jiografia ya nchi ya Uingereza kutawala nusu na robo ya dunia yote ikiwemo USA, Canada, Australia, New Zealand nk. Hii ilikuwa ni akili kubwa kuliko ukubwa wenyewe.
Ukilitazama swali na maelezo yake kwamba ni kupanua wigo wa mada yako ungeelewa.Nilitaka ulitumie swali uifikiria sababu za kutokea kwa utofauti wa mipaka(kama ilivyo sasa).Mkuu hili swali lako linatokana na mada hii au umechomekea tu upate majibu ya huku na kule?
Acha kuamini stori za kijinga na wewe unaamini mipaka ya israeli ipo mbinguni?Mungu ni alfa na omega! Hapangiwi cha kufanya au namna ya kufanya. Wewe unataka kum-contain Mungu kuendana na matakwa yako? Huyo si Mungu.
Kwaiyo mipaka mingine ipo kwenye mikabati ya Shetani akili yako haiko sawa mkuu anyway Israel nchi yao imekuja juzi tena kwa ushawishi wa Marekani... Israel ni special case; mipaka yake iko kwenye makabati ya Mbinguni.
Hizo nyingine ilitokana na survival for the fittest. Tawala zilizokuwa na nguvu ziliweza kutwaa ardhi kubwa na zile nyonge ndio hivyo tena. Mfano ni wewe mwenyewe; una eka ngapi za ardhi? Inawezekana hata kiwanja huna ila kuna watu wana eka kwa eka za ardhi.
Imewekwa na Mungu mwenyewe; that's the meaning.Acha kuamini stori za kijinga na wewe unaamini mipaka ya israeli ipo mbinguni?
Sorry kama umekereka Mkuu ila ndio hivyo.Kwaiyo mipaka mingine ipo kwenye mikabati ya Shetani akili yako haiko sawa mkuu anyway Israel nchi yao imekuja juzi tena kwa ushawishi wa Marekani
Oh hapa nimekuelewa mkuu wanguUkilitazama swali na maelezo yake kwamba ni kupanua wigo wa mada yako ungeelewa.Nilitaka ulitumie swali uifikiria sababu za kutokea kwa utofauti wa mipaka(kama ilivyo sasa).
Mbinu hii ktk ufundishaji huitwa 'bungua bongo',kimtaa huitwa 'chemsha bongo'.Mbinu ya kuuliza swali kwa swali ni nzuri kwa kiasi chake kwani humwezesha muiliza swali kuushughulisha ubongo wake ili hata akipewa majibu ya swali lake basi anaweza kuelewa haraka.(sorry kama nimekuchanganya)
Mungu ni wa kila kiumbe mkuu sio wa Yakobo peke yake. Acha kuamini mambo yaliotengenezwa na watu fulan ili ije kuonekana kama wao ndio walikuwa na hakimiliki ya Mungu na wengine eti hawana.Hizo sio story kaka. Mungu wa Yakobo ndiye Mungu.
Mkuu nashukuru sana kwa comment zako zinazoelewesha na kuelimisha.Nashukuru umeelewa. Wewe ni kati ya waungwana sana humu jf.
Ingekuwa sio weekend ningehisi wewe ni chizi. Lakini labda umeandika huu upupu baada ya kunywa na kulewa mtaptap.... Israel ni special case; mipaka yake iko kwenye makabati ya Mbinguni.
Sitegemei muumini wa shetani uongee tofauti. Naheshimu maoni yako ya kishetani.Ingekuwa sio weekend ningehisi wewe ni chizi. Lakini labda umeandika huu upupu baada ya kunywa na kulewa mtaptap.
Pamoja sana Kiongozi. Tulipokwazana tusameheane. Ndio ubinadamu huo.Mkuu nashukuru sana kwa comment zako zinazoelewesha na kuelimisha.
Ulichoandika kiliendana na uhalisia wa mada husika, kwahiyo ni ngumu sana kwa mtu mwenye uelewa ashindwe kuelewa kile ulichoandika.
Ya ni kweli mkuu, sisi wote ni ndugu kuanzia kwenye utamaduni, mila na utaifa wetu. Kwahiyo kukwaza kimtazamo wa kiimani au kwa itikadi ya mambo ya kitaifa haiwezi kuwa sababu ya kutoheshimu misingi yetu ya undugu na umoja wetu kama watanzania.Pamoja sana Kiongozi. Tulipokwazana tusameheane. Ndio ubinadamu huo.