Hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi hizi?

Hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi hizi?

Tukirudisha ardhi yetu faida itakuwa nyingi kuliko hasara. Manake wahutu wa burundi wana nguvu sana so tutawatumia kwenye kilimo, huku watutsi walio wengi rwanda tutawatumia kwenye jeshi letu la polisi make mtu mrefu kumkimbia ni vigumu sana. Wewe ukipiga hatua 10 ya kwake 1 tu ashakushika.
Dah mdogo wangu hesabu gani hzo
 
Yeah,Ibrahim mwarabu Kama sadam Hussein tu
Hilo linafahamika, so inashangaza mtu kuja kusema kuwa Mungu ataweka mipaka kweny ardhi ya wajukuu zake na Ibrahim na kuachana kuweka kwenye ardhi aliyozaliwa na kukulia Ibrahim mwenyew.
 
Salam wana jamii,

Wakuu naomba mwenye ujuzi wa mambo ya mipaka ya nchi mbalimbali aje anipe muongozo wa vigezo vilivyotumika kuzipendelea baadhi ya nchi kwa kuzipa ardhi kubwa, na kuzikomoa zingine kwa kuzipa ardhi ndogo.

Ukiangalia namna nchi ya China ilivyopendelewa huku majirani zake Cambodia, Vietnam, Nepal nk wakipewa viji ardhi vidogo mno ambavyo vingine vinaonekana kama ni vichochoro tu vya kutokea Thailand kwenda China, hii inatafakarisha sana, na hapo bado China itadai baadhi ya nchi zingine hapo bembeni yake ni ardhi yake.

Nashindwa kujua ilikuaje kuaje nchi moja iwe na eneo kubwa hivyo huku majiran zake wakikosa hata sehem ya kulimia.

Hii ipo hata kwa nchi za mashariki ya kati. Ukiiangalia Saudia ukubwa wake unaweza kufikiri kuwa Israel ni moja ya kata yake maana hata wilaya au mkoa wa Saudia unaonekana ni mkubwa kwa ardhi ya Israel.
Tukija kwetu naziangalia Burundi na Rwanda ni kawa wilaya tu zilizopo ktk mikoa ya Kigoma na Kagera.
Ni nani aliegawa mipaka hii na kwanini alibagua hivi?

Kwa wale wasioona vizuri Map nawashauri wa zoom.
Africa iligawanywa na mkutano wa Berlin empire
 
Back
Top Bottom