Hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi hizi?

Mjerumani alijimegea bongo, rwanda na burundi. Sasa kwanini bongo ikawa kubwa ki mipaka na zingine zikawa finyu? Kwanini zisingekuwa mikoa yetu tuwatawale? Kwanini zipewe hadhi ya kuwa nchi kisha kigoma inayofanana nazo inyimwe hadhi hiyo?
Kama Rwanda na Burundi zingekuwa mikoa yetu, basi Kagame angekuwa ni mmoja kati ya wakuu wa mikoa wa mwanzo mwanzo kutumbuliwa na uongozi wa jiwe 😂😂😂 maana wangepishana kwenye mitazamo fulan fulan ya kiuongozi.
 
Inatubidi tuifamie burund na Rwanda yawe mikoa yetu miliki ya Tanzania ifanyike hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Burundi ile mbona mchakato tayari ushafanyika kitambo enzi za Kikwete na Ngurunziza mwaka 2015, baada ya Ngurunziza kugundua kuwa kwa yeye peke yake hawezi kuitawala Burundi bila usimamizi wetu, na Rwanda nayo ni swala la muda tu itapofika kipindi ambacho Kagame atakuwa hawezi hata kusimama mwenyew ndo tutaingia kuichukua kiulaini bila hata gharama ya umwagaji wa damu.
Ni mwendo wa kurudisha ardhi zetu ktk himaya zetu kama anavyotaka kufanya China kwa taiwan Hongkong nk.
 
Mbinguni nako kuna ubaguzi?
 
Berlin conference 1884 wakoloni ndo walifanya partition ya mipaka chini ya Otto von Bismarck.
 
Nje ya mada naomba kujuzwa;
Mkuu hii ramani ni mpya au tangu zaman ilikuwa hvy?
Nilijua mpaka wa Tanzania na Malawi upo katikati ya ziwa Nyasa ila hapo naon ziwa lote lipo Malawi.
Au ule mgogoro wa ziwa umeipa ushindi Nyasaland kimyakimya?
 
Mipaka ya nchi inatokana na Berlin conference na tawala zakifalme za wakati huo Kama ottoman na China kulikuwa na tawala zake kwa mfano Taiwan ilitawaliwa na tawala ya kichina iliyo pinduliwa China na kukimbilia taiwan
 
Africa tuligawanywa rasmi na mabeberu kwenye mkutano wa Otto Von Bismarck kule Berlin mwaka 1884/1885.
 
Sio watawala tu, ni pamoja na raia waliokubalina kuwa wao ni taifa moja na wakalazimisha wengine kuwa sehemu za mataifa yao.

Kwa Africa ukiacha Ethiopia, Misri na kwa sehemu Tanzania mabeberu ndio waliotugawa kwenye hii mipaka ya mataifa ya kileo.
Kumbe ni watawala wenyewe ndio waliotengeneza kitu kinachoitwa nchi na mipaka yake. So mabeberu waliotugawa kama tulivyoaminishwa?
 
Uganda na Kenya zilikuwa mali ya (IBEACo)- Imperial British East Africa Company kabla ya kupewa kwa Himaya ya Uingereza na kugawanya mwaka 1894 na utawala wa Kingereza ili kufanya urahisi katika kutawala.

Kwenye kugawanya walikuwa wanaangalia zaidi jamii zinazoweza kuwekwa pamoja zikaishi kwa utulivu bila kuvurugana sana.
 
big up sana,uyo jamaa anahisi anamjua sana Mungu wake,kumbe bado ajapata elimu ya kutosha kumjua uyo Mungu wake anamuamini.
 
[emoji1787][emoji1787]
Wote hatukuwa ma-Bushmen mkuu, kulikuwa na Mwenemutapa Empire wahunzi wa shaba na wafanyabiashara wa dhahabu, kulikuwa na Soghai Empire wanafanya biashara kubwa ya dhabu, Mali Empire
 
Hazikumegwa zote kwa pamoja kwa wakati mmoja, pia Wanajeshi waliohusika kumega sehemu walikuwa wanafanywa watawala wa hayo maeneo kwa muda kabla ya kusimika utawala wa kiraia.
Mjerumani alijimegea bongo, rwanda na burundi. Sasa kwanini bongo ikawa kubwa ki mipaka na zingine zikawa finyu? Kwanini zisingekuwa mikoa yetu tuwatawale? Kwanini zipewe hadhi ya kuwa nchi kisha kigoma inayofanana nazo inyimwe hadhi hiyo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama Rwanda na Burundi zingekuwa mikoa yetu, basi Kagame angekuwa ni mmoja kati ya wakuu wa mikoa wa mwanzo mwanzo kutumbuliwa na uongozi wa jiwe [emoji23][emoji23][emoji23] maana wangepishana kwenye mitazamo fulan fulan ya kiuongozi.
 
Hizo sio story kaka. Mungu wa Yakobo ndiye Mungu.
Si ndiyo yule anayeshirikiana na yesu kwenye uungu wake!?...yaani yeye na yesu ni kitu kilekile au huyu wa yakobo tofauti!?...Ibrahim ni muhamiaji pale panapoitwa Israel,Jericho watu wakiishi zaidi ya miaka elfu kumi iliyopita...
 
Si ndiyo yule anayeshirikiana na yesu kwenye uungu wake!?...yaani yeye na yesu ni kitu kilekile au huyu wa yakobo tofauti!?...Ibrahim ni muhamiaji pale panapoitwa Israel,Jericho watu wakiishi zaidi ya miaka elfu kumi iliyopita...
... uko sahihi; ndio huyo huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…