Hivi ni nani aliekata mipaka ya nchi hizi?

Hakuna ujinga huo..tuongeze watu 22m kwenye ardhi yetu!?
 
The one with power will conquer more land than the other.
 


Ramani ya Tz ni kichwa cha mtu, ukiziondoa Burundi na Rwanda ramani hiyo inakuwa sawa na kichwa chenye kichogo kilichomegeka. Basi ili kichwa kikamilike inabidi Burundi na Rwanda ziwe integrated to Tz kama ilivyokuwa zama za ukoloni wa Ujerumani Deutch East Africa.
 
Turudishe Germany east Africa
 
Tupanue mada,kwanini ukoo A uwe na wanukoo 29 na ukoo B unawanaukoo 229?

Kuna mambo yalizingatiwa,hata hivyo hayo mambo siyajui vizuri,wajuzi njooni mtusaidie.
Ulicholinganisha wala haviendani wingi wa watu kwenye ukoo unategemea na mnavyozaliana vilevile na afya ya wanaukoo.
 
Tupanue mada,kwanini ukoo A uwe na wanukoo 29 na ukoo B unawanaukoo 229?

Kuna mambo yalizingatiwa,hata hivyo hayo mambo siyajui vizuri,wajuzi njooni mtusaidie.
Ulicholinganisha wala haviendani wingi wa watu kwenye ukoo unategemea na mnavyozaliana vilevile na afya ya wanaukoo
 
Berlin conference 1884 wakoloni ndo walifanya partition ya mipaka chini ya Otto von Bismarck.
Kwahiyo wao ndio walioamua China iwe na ardhi kubwa kuliko wenzake, au Tanganyika (Tanzania bara) tuwe na ardhi kubwa kuliko wenzetu Rwanda na Burundi?
 
Nje ya mada naomba kujuzwa;
Mkuu hii ramani ni mpya au tangu zaman ilikuwa hvy?
Nilijua mpaka wa Tanzania na Malawi upo katikati ya ziwa Nyasa ila hapo naon ziwa lote lipo Malawi.
Au ule mgogoro wa ziwa umeipa ushindi Nyasaland kimyakimya?
Hahaha mkuu umeuliza swali zuri na la maana sana, maana hata mimi nilikuwa sijaliona hili la mpaka wa Tanzania - Malawi.
Acha tungoje wajuzi waje watuambie maana raman ni kama ya sasa.
 
Mipaka ya nchi inatokana na Berlin conference na tawala zakifalme za wakati huo Kama ottoman na China kulikuwa na tawala zake kwa mfano Taiwan ilitawaliwa na tawala ya kichina iliyo pinduliwa China na kukimbilia taiwan
Ok mkuu, kwahiyo ugawaji huu ulisababisha hata wagawaji wadhulumiane wenyewe kwa wenyew maana ukiangalia ukubwa wa Ufaransa ni tofauti na Ujerumani, ukubwa wa ujerumani ni tofauti na Belgium. So sijui ni kwann waliamua kufanya hivyo.
 
Si ndiyo yule anayeshirikiana na yesu kwenye uungu wake!?...yaani yeye na yesu ni kitu kilekile au huyu wa yakobo tofauti!?...Ibrahim ni muhamiaji pale panapoitwa Israel,Jericho watu wakiishi zaidi ya miaka elfu kumi iliyopita...
Inasemekana Ibrahim asili yake ni babylon ambayo sasa hivi inaitwa Iraq.
 
Hakuna ujinga huo..tuongeze watu 22m kwenye ardhi yetu!?
Tukirudisha ardhi yetu faida itakuwa nyingi kuliko hasara. Manake wahutu wa burundi wana nguvu sana so tutawatumia kwenye kilimo, huku watutsi walio wengi rwanda tutawatumia kwenye jeshi letu la polisi make mtu mrefu kumkimbia ni vigumu sana. Wewe ukipiga hatua 10 ya kwake 1 tu ashakushika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…