Somo la vyakula bado sana kwa Watanzania. Wenzako wanakula hadi Funza, Mende, Vyura, Mijusi, Nyani, Kobe nkHizi njaa hizi!!!
Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?
Wachaga pia na kula kwao panzi na nyani.Wahay mtupe majibu kwakwel na ambao mnakula wadudu😊
Mkuu kula panzi?Watu tunamkaanga panzi aina ya ngeda na kumtafuna vizuri tu pamoja na harufu yake! Kumbikumbi kitu gani bhana!
Tena anaitwa ngeda! Wasambaa wanamfahamu huyo mdudu. Ili umle, lazima umkaange vizuri kutoa harufi kali na mbaya aliyokuwa nayo.Mkuu kula panzi?
Chakula ni sehemu ya utamaduni hivo utofautiana kati ya jamii moja na nyingine,hakuna jibu la moja kwa moja kwa nini kabila fulani linakula chakula fulani, Mara nyingi ni kwa sababu ya mazingira na urithiWahay mtupe majibu kwakwel na ambao mnakula wadudu😊
Hizi ni dalili za mtu aliyeishiwa yaan mfukoni empty alafu tumbo linadai chochote sasa unaanza kutafuta uhalali wa kutafuna visivyolika.Hizi njaa hizi!!!
Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?
Wachaga wa wapi hao ?Wachaga pia na kula kwao panzi na nyani.
SawaChakula ni sehemu ya utamaduni hivo utofautiana kati ya jamii moja na nyingine,hakuna jibu la moja kwa moja kwa nini kabila fulani linakula chakula fulani, Mara nyingi ni kwa sababu ya mazingira na urithi
Sema sahivi ata bila maji ukiwa na pipa kubwa unategesha kwenye taa yenye mwanga mkali usiku wakiwepo asubuhi unakuta wameingia wenyewe.Sema kuna wale ambao hawapukutishi mabawa yao hao unahitaji kifaa kiwe na majiWatamu sana nakumbuk nilikuwa naweka beseni nje usiku na maji waangukie ili morng niwakaange