Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,136
- 6,922
Tena wale wa chooni 😁😁🫵🏿Kuna jamaa wanakula hadi nzi.
Tena wale wa chooni 😁😁🫵🏿Kuna jamaa wanakula hadi nzi.
Nimeuliza kumbikumbi hao unaojua ni wewe.Somo la vyakula bado sana kwa Watanzania. Wenzako wanakula hadi Funza, Mende, Vyura, Mijusi, Nyani, Kobe nk
Wewe unashangaa wanaokula Kumbikumbi! Toka hapo Stendi japo utembeetembee huko Ulimwenguni ukirudi hutoshangaa wala kumbikumbi.
Kwani Senene na Panzi na Nzige wanapishana kipi??
Kadri population inabyoongezeka, Muingiliano na watu wa Mataifa mengine Mabadiliko ya Tabia Nchi huko mbele utajua kwanini Mchina anakula Punda, Mbwa Nyoka nk. Endelea kushangaa mkuu
Bado sijapata jibu kila mtu anajibu anavyotaka yeyeChakula ni sehemu ya utamaduni hivo utofautiana kati ya jamii moja na nyingine,hakuna jibu la moja kwa moja kwa nini kabila fulani linakula chakula fulani, Mara nyingi ni kwa sababu ya mazingira na urithi
Eheeee...Sema sahivi ata bila maji ukiwa na pipa kubwa unategesha kwenye taa yenye mwanga mkali usiku wakiwepo asubuhi unakuta wameingia wenyewe.Sema kuna wale ambao hawapukutishi mabawa yao hao unahitaji kifaa kiwe na maji
Ewaaa!👊Tena wale wa chooni 😁😁🫵🏿
Hizi njaa hizi!!!
Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?
Hao wanaprotin sanaHizi njaa hizi!!!
Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?
Aliyegundua ugali katuweza mammaye.🤣 mimi pia huwa sielewi aliegundua mahindi yanasagwa alafu unapatikana uji, kisha unasongwa ugali mgumu kama hutakula tena. 🙌
Kumbi kumbi kwa kuwaona utasema wote ni sawa lakini kuna tofauti katika matumizi(ntakupa maelezo kulingana na wahaya sijui kwa makabila mengine).Eheeee...
Ndo nauliza hapa sasa wewe ndo umeelewa swali languje! Hawa na wale wa mvua kubwa ni sawa au ni tofauti
Tena anaitwa ngeda! Wasambaa wanamfahamu huyo mdudu. Ili umle, lazima umkaange vizuri kutoa harufi kali na mbaya aliyokuwa nayo.