Japo sijawah kula mende lakini wamenona sana nafikir watakuwa na protin ya kutosha.Somo la vyakula bado sana kwa Watanzania. Wenzako wanakula hadi Funza, Mende, Vyura, Mijusi, Nyani, Kobe nk
Wewe unashangaa wanaokula Kumbikumbi! Toka hapo Stendi japo utembeetembee huko Ulimwenguni ukirudi hutoshangaa wala kumbikumbi.
Kwani Senene na Panzi na Nzige wanapishana kipi??
Kadri population inabyoongezeka, Muingiliano na watu wa Mataifa mengine Mabadiliko ya Tabia Nchi huko mbele utajua kwanini Mchina anakula Punda, Mbwa Nyoka nk. Endelea kushangaa mkuu
Protini safi hapo. Miaka ijayo mahitaji ya protini yatakidhiwa kwa kiwango kubwa kutoka kwa wadudu.Hizi njaa hizi!!!
Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?