Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,656
- 9,074
Kumbi kumbi ni wazuri sana hasa kwa Wazee.
Unaingia hotelini unaagiza ugali bundi..Kuna sehem nilikuta wanachoma nyama ya bundi Ina mafuta balaa inazima mpka moto sembuse kumbikumbi
Kumbe nao wachaga nao wamo 🐵Wachaga pia na kula kwao panzi na nyani.
Uliza vizuri utaelewa. Kama ndio kwenu huko basi waulize vizuri na sababu za kula panzi na nyani ilikuwa nini?Wachaga wa wapi hao ?
Vijana wa siku hizi watabisha hili suala ila ni sehemu katika msosi wao wa asiliKumbe nao wachaga nao wamo 🐵
Niliuze tena ? Hakuna mchaga anakula hivyo vitu ,wewe labda ulikuta walevi wa gongo wakila ukajua ni wachaga wote hufanya hivyo.Uliza vizuri utaelewa. Kama ndio kwenu huko basi waulize vizuri na sababu za kula panzi na nyani ilikuwa nini?
Hao sio kumbi kumbi, ni madinda makuti, hawaliwiii.Hizi njaa hizi!!!
Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?
Hawakuiva na kukauka? Ko ulihara hatarii?Niliwahi kula nikiwa njombe kipindi hiko...
Niakabeba wengine nikaenda nao shule...
Ni watamu sana aiseee ila kama una tumbo la dukani uwezi vumilia show yake
Sawa hakuna neno. Tafuta historia ya kabila lako ili upate kulielewa vizuri.Niliuze tena ? Hakuna mchaga anakula hivyo vitu ,wewe labda ulikuta walevi wa gongo wakila ukajua ni wachaga wote hufanya hivyo.
Kwenye vyakula vya kitamaduni hakuna chakula cha nyani kwa mchaga huo ni upotoshaji mkubwa.Sawa hakuna neno. Tafuta historia ya kabila lako ili upate kulielewa vizuri.
Ni hayo tu mkuu