Hivi ni nani aligundua kuwa kumbi kumbi wanaliwa..

Hivi ni nani aligundua kuwa kumbi kumbi wanaliwa..

Sina la kuongeza mkuu. Na panzi aka nzige hayupo?
Nzige hata mimi nakula wale wa kahawia na sio wa aina nyingine na hii nimejifunza kwa wasukuma japo hata wachaga wanakula
1743171932206.jpg
 
Back
Top Bottom