Hivi ni nani aligundua kuwa kumbi kumbi wanaliwa..

Min ~me ni mchaga na Tate Mkuu ni msambaa bila kusahau Seth saint ni mhaya..
Haya tuendelee na mada ..
 
Japo sijawah kula mende lakini wamenona sana nafikir watakuwa na protin ya kutosha.
 
Hizi njaa hizi!!!
Etii hawa kumbi kumbi wanaoruka saa hivi hapa ndio jamii moja na tunaokula vijijini mle ambao hadi mvua iwe kuubwa ndiowanatoka? Hawa wa mjini hadi kwenye balbu za umeme usiku wanarukia rukia je nao wanaliwa?
Protini safi hapo. Miaka ijayo mahitaji ya protini yatakidhiwa kwa kiwango kubwa kutoka kwa wadudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…