Sweden's coronavirus death rate is nearly 6 times that of neighboring Norway and Finland. Here's a look at how the countries have approached the coronavirus pandemic differently.Hakuna nchi ambayo haitaabiki na corona Ulaya, lkn waliofanya lockdown hawako vizuri zaidi kuliko waliofanya ndicho nilichomaanisha, na kama una ushahidi kwamba Sweden imeathirika zaidi na corona kuliko nchi nyingine za Ulaya, karibu uweke hapa, ...
Katika kumsikiliza Rais Magufuli, kaweka wazi kwa Tanzania hawezi kuweka lockdown kwa sababu za kiuchumi, itatuathiri kuanzia individual level mpk Taifa kwa ujumla wake.
Na hajabeza waliofanya lockdown, kila mmoja atapambana kwa njia zake. So far data alizonazo, inaonesha no lockdown it works good for us.
Kwa hiyo sioni mantiki ya uzi wako, sisi Tz tumechagua no lockdown basi iko hivyo na waliochagua basi vizuri pia.
Cha zaidi ktk uzi wako nimeona kufanya lockdown mapema zaidi imekuwa effective kwa kiasi chake ktk majimbo hayo uliyoyataja, lkn bado naweza kusema haijazaa matunda kivile. Kwa mfano nimeangalia Population ya Ohio ni karibia 12M sawa na Population ya Rwanda, na mpaka sasa vifo ni zaidi ya 1600 na cases zaidi ya elfu 27.
Kwa maana hiyo kama Tz tungechagua lockdown basi ili iwe effective kwa mjibu wa hoja yako tulipaswa kulifanya hilo mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usituletee mambo ya MarekaniBila kupoteza muda, naweka hiki kipande hapo chini chenye kusapoti ninachokisema, pia link kama ukitaka kusoma habari yote na kujiridhisha wewe mwenyewe kuwa nisemayo ni kweli.
Dar na hata Arusha mlikuwa na nafasi tokea mwanzo. Ungekuta sehemu ndogo tu ndo imewekwa lockdown. Haswa kwasababu tulishafanikiwa kuwatambuwa wale waathirika wa mwanzo kabisa, na ingekuwa kazi rahisi kuweka lockdown ya wiki mbili huku tukiwatafuta wale wote waliokutana nao! Na kuharibu tuliharibu sana pale mwanzoni kwa kuendelea kuwapokea wageni wote ikiwemo kutokea China of all places!! Kuna hatua ambazo ni partial lockdowns zingechukuliwa mwanzoni wakati ule wanapotafutwa wale contacts. Sasa gonjwa limeingia tu na waliokutana na hao wagonjwa wa mwanzoni waliachiwa waranderande mitaani kwa kutumia kisingizio hicho hicho kuwa lockdown inauwa! Kwasasa ni kweli tungekuwa tumeepusha vifo vingi. Pia huwa zinakuwa za muda, mathalani siku 14 wakati unatafuta wale waliokutana na mwathirika!Usituletee mambo ya marekani
Lock.down sio.tatizo,je unaweza kuwapa chakula wananchi utakaowavundika ndani?
Huko.us mnapewa cheki mpaka za dola elfu sita kwa kila familia,hapa africa nchi gani.ina.uwezo huo?
Sio kila.cha Magharibi.ni cha kuiga,kenya huko wameshaanza vurugu,hawataki kuvundikwa kama ndizi
Mfano marekani wanasema bila hata hiyo lockdown iliyochelewa, wangepoteza wananchi mara 32 zaidi ya sasa hivi! Yani namba iliyopo, zidisha mara 32!Kwa nini unasema lockdown haijazaa matunda kivile? Kama pamoja na lockdown vimetokea vifo 1600 unajuaje kama waliona bila lockdown vinaweza kutokea vifo zaidi ya 3200? Huoni kama lockdown imeokea hata watu 10 tu ni mafanikio makubwa sana?
Ni ukweli kabisa upo sahihi tulitakiwa kufanya mapema kabisa! Lakini bado kuna mbinu muafaka za kufuata na kuepusha vifo bila ya kuharibu uchumi zaidi ya vile unavyoharibikaKatika kumsikiliza Rais Magufuli, kaweka wazi kwa Tanzania hawezi kuweka lockdown kwa sababu za kiuchumi, itatuathiri kuanzia individual level mpk Taifa kwa ujumla wake.
Na hajabeza waliofanya lockdown, kila mmoja atapambana kwa njia zake. So far data alizonazo, inaonesha no lockdown it works good for us.
Kwa hiyo sioni mantiki ya uzi wako, sisi Tz tumechagua no lockdown basi iko hivyo na waliochagua basi vizuri pia.
Cha zaidi ktk uzi wako nimeona kufanya lockdown mapema zaidi imekuwa effective kwa kiasi chake ktk majimbo hayo uliyoyataja, lkn bado naweza kusema haijazaa matunda kivile. Kwa mfano nimeangalia Population ya Ohio ni karibia 12M sawa na Population ya Rwanda, na mpaka sasa vifo ni zaidi ya 1600 na cases zaidi ya elfu 27.
Kwa maana hiyo kama Tz tungechagua lockdown basi ili iwe effective kwa mjibu wa hoja yako tulipaswa kulifanya hilo mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali, no nchi gani Duniani imeweka lockdown ikafanikiwa kupunguza maambukizi na vifo kuliko Tanzania? Mbona unaleta uchadema sana?Msidanganye wananchi kwasababu za kisiasa.
Yaani hatua zote zinazotangazwa na Serikali huzisikii au wewe kwako hatua ni lockdown tu?Dar ilitakiwa lockdown, pia kuna partial lockdowns ambapo siyo wote wanazuiliwa, inaweza kuwa ni sehemu ama eneo fulani, ama pia watu Fulani kutokana na maambukizi.
Kinachofanyika sasahivi Tanzania ni kwamba hakuna hatua zozote ambazo zinapigiwa kampeni na serikali, zaidi ya kauli ambazo zinasababisha wananchi kuona ni kawaida tu na kuacha kuchukuwa hatua!
Sasa hadi mipaka tufungiwe ndo unasema lockdown ni mbaya?
Mkuu jmushi1 kuna mifano mingi sana inayothibitisha kuwa lockdown infanya kazi.Siyo sahihi kusema lockdown haisaidii kwasababu zenu za kisiasa! Kwanza ingekuwa ni kwetu, huyo Dewine angekiona cha mtemakuni! Lakini kwasababu ya kiasi cha demokrasia na mfumo wao wa uongozi, Dewine aliweza kuchukuwa maamuzi muhimu kwenye jimbo lake kinyume na rais wa nchi! Na ameonekana kwamba alikuwa sahihi na kiongozi shupavu! Nyota yake inang’ara! Trump hawezi tena kusema kuwa lockdown haisaidii! Na Tanzania siyo sahihi kusema hivyo, semeni tu hamkuchagua lockdowns kwasababu mtakufa njaa.
Mag3 Nguruvi3 JokaKuu Kalamu1 imhotep Detective J
Nakusupport.Ni ukweli kabisa upo sahihi tulitakiwa kufanya mapema kabisa! Lakini bado kuna mbinu muafaka za kufuata na kuepusha vifo bila ya kuharibu uchumi zaidi ya vile unavyoharibika. Pia sisi siyo kisiwa, hatutaweza kufanya lolote sisi wenyewe. Unakaa wenyewe tulishindwa! Na tungeweza kama isingekuwa utegemezi wetu pengine!
Kutokana na data zipi alizonazo unaposema ameona kuwa haitafanya kazi kwetu? Kwani nani alisema lockdown ni ya nchi nzima ama mkoa mzima pale mwanzoni? Hatua za awali zilikuwa kufunga mipaka, na kufuatilia kwa kasi wale waliokuwa wamegunduliwa kuwa wameathiriwa na virusi vya covid-19.
Hapo No. 5 nadhani pia S/Africa so far kwa Africa ndio inayoongoza kwa kufanya mass testing Kwa watu wake.Mkuu jmushi1 kuna mifano mingi sana inayothibitisha kuwa lockdown infanya kazi.
1. Wengi hawafahamu nchi ya kwanza kuweka lockdown ilikuwa New Zealand chini ya Waziri mkuu Jacinda Arden. Nchi hiyo ina maambukizi machache sana vifo na ni moja ya ''success story'' duniani.
2. Visiwa vya Caribbean ikiwemo Cuba vina maambukizi machache na vifo 84 kutokana na hatua za lockdown
Cuba ina kifo kimoja kama sitakosea kwa taarifa za karibuni.
3. Italy ilifanikiwa kupunguza mazishi kwa kutumia Jeshi baada ya lockdown.
Kumbuka Italy ndiko Biblia ilikoandikwa na kama leo 'Masiah akifanya ziara ya kushtukiza duniani' atapokelewa na Pope kule Vatican. Pamoja na hayo, Vatican ilikuwa katika lockdown na Pasaka ilikuwa ya Pope na wapambe 4.
4. Mecca , mji mtakatifu na sehemu ya Mahujaji, wamefunga sughuli zote kwa maana ya lockdown
5. South Africa, inasifiwa kwanza, kwa uwazi katika kutoa takwimu.
Pili kwa hatua kali za lockdown zilizopunguza maambukizi.
6. Brazil na Rais wao Bosara aliyesema ni mafua ya kawaida na hataki lockdown, leo amezika na sasa ni nchi inayoongoza katika top 5 zenye vifo vingi na bado watu wanakufa huenda ikashindana na Marekani
7. UK walikataa lockdown kwanza, well, kilichofuata ni misiba hadi wakaweka bila shurti. Johnson anajua
8. Nchi za EAC zilichukua hatua mapema tukiwa hatuna mgonjwa hata mmoja.
Leo idadi kubwa kuliko wao, hatujui namba kamili. Wanatufungia mipaka! sisi tukiwaonea huruma wanatutegemea
Swali ninalojiuliza, hivi huyu Mungu wetu tunayemtegemea ni tofauti na wa duniani?
Kwanini Mungu aliyepelekea Italy na Vatican kuzika kwa kutumia jeshi atusikilize tofauti na wenzetu?
Yaani hatua zote zinazotangazwa na Serikali huzisikii au wewe kwako hatua ni lockdown tu? Hao nchi jirani hawatufungii sisi mipaka bali wanajifungia wao wenyewe, mbona hawakuzuia maloli ya mizigo kuingia kwao kama kweli wako serious? na ninakuhakikishia haitopita majuma mawili hao unaowasifia eti wametufungia mipaka wataifungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Must learn with it.. haimaanishi kuwa watu warelax wasichukue hatua.
Umesema Taiwan ni Success story ya kutolockdown, tupe sasa hiyo story ya success kwa kutolockdown, wamefanyaje kupunguza maambukizi na vifo.Kuna mifano pia ya nchi ambazo hazijafanya ,,lockdown” na ziko vizuri na kufanikiwa zaidi klk zile zilizofanya, mfano Taiwan ingawaje ipo karibu kabisa na China na ni moja kati ya nchi za kwanza kabisa kushambuliwa lkn haikufanya ,,lockdown” na sasa hivi Taiwan ni success story kwenye kupambana na virusi vya corona, hata Sweden haikufanya lockdown na bado wametoka vizuri klk nchi zilizofanya lockdown kama Italia au Uingereza, isitoshe swala hapa siyo kwamba lockdown inasaidia au la, bali swala ni kwamba nchi nyingi hata zilizoendelea haziwezi kumudu lockdown, na watu wengi zaidi watakufa kutokana na madhara ya lockdown kuliko corona, wengi wamepoteza kazi, wamepoteza Health insurance, hata Afrika kwetu wanaokufa na njaa ni wengi kuliko wa corona, hiyo ndiyo argument, kwamba lockdown inaumiza zaidi kuliko kuponya, ...