Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili ikusaidie vipi!
Hayo ni matatizo yao yaliyosababishwa na uongozi mbovu wa Trump kwenye janga hili! Uzuri wa wenzetu, kuna accountability in one way or another. Kwahiyo wananchi lazima wapime kama alionyesha uongozi makini wakati wa janga hili linalotafuna maelfu ya wamarekani, wengi kwasababu ya uzembe.
Kadiri muda unavyozidi kwenda, wanaotetea haya watapunguwa maana yatawafika tu.Ajabu sana, wenye akili zao wamepiga lockdown, wametoa elimu na watu wameelimika na sasa wanaanza kufungua hizo lockdown kwa tahadhari kubwa sana, tunawaona hata kwenye supermarkets zao na maeneo mbalimbali walivyo na nidhamu ya hali ya juu (tunajipa moyo kwamba wanatuiga), upuuzi mtupu, sisi hakuna elimu iliyotolewa hata theluthi kulinganisha na kwao, zaidi tunaambiana tusitishane na huku watu wakiendelea kuteketea na kimdudu kikiendelea kusambaa, usipinge kwa kuwa halijakufika, na ukipinga likaja kukufika uje uunge mkono hoja usikae kimya kwa aibu, Lockdown ilitakiwa sana tu na siyo ya milele bali ya muda tu na elimu itolewe kwa kila njia, wale waliokuwa wakizika usiku wasambaze vipeperushi kutoa elimu namna ya kujikinga tukitoka, watu wangeogopa na wangeishi kwa tahadhari ya hali ya juu na ingesaidia sana kupunguza hofu iliyoko mtaani kwa sasa, kila mtu anamuogopa mwenzie, na wala kusingekuwa na mazishi ya usiku. Shule zimepigwa lockdown hakuna mishahara kwa walimu na wafanyakazi wengine wa shule, kwao tunaona ni sawa lokdaun ila kwenu nyinyi siyo sawa kwa sababu gani? Hakuna nchi hata jirani zetu aliyekufa kwa njaa, sisi tunakula sana ama vipi? Nimeagiza popcorns nyingine.
Nani amesema kila mtu alitakiwa kufungiwa?wacha kukwepa majukumu.Ukishashiba unadhani kila mtu ni fisadi tajiri kama wewe!?
Kuna tunaobangaiza kutoka nje kila siku kwenda kutafuta huku na kule ili tusife njaa!
Wewe uko bize unaleta mifano ya ulaya! Bongo na ulaya wapi na wapi?
Hizo shule zenu za kata hazikuwafunza majedwali ya kuoanisha vinavyofanana?
Halafu, umezuiwa kujifungia? Kwanini usijifungie? Unataka kusindikizwa na kila mtu una ajenda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya kila mtanzania yanaihusu serikali, haijalishi umepiga kura ama hujapiga kura!Ndio maana unashauriwa kajifungie wewe kwanza.
Kwani maisha ya wengine, mfano mimi, yanakuhusu nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado anadhani walifanya au wanafanya mchezo. Tungekuwa serious, tungewashirikisha viongozi wa ngazi za chini huko kama mabalozi na makatibu tarafa kwenye janga hili! Ni suala la kuwa serious na siyo kama ilivyo sasa...Hahahahaha hujui Wuhan pamewaka Moto au hufatilii vyombo vya habar
Sent using Jamii Forums mobile app
China’s residents live under a grid-style social management system: All residential areas are divided into geographical blocks, and street-level authorities assign individual workers to manage each of them.
The system enforces “social stability” in regular times, with these workers monitoring their assigned residents and reporting them for undesirable activities such as gambling or religious gatherings. During the pandemic, they’ve become responsible for enforcing restrictions on movement, registering people for tests, and caring for the vulnerable under lockdown.
Huko walikokuwa wanaambiwa ukweli idadi ya vifo ikojeLockdown za kimkakati, hizi blanket statements zenu ni za kisiasa. Kwasababu hadi usawa huu, wananchi wanapotoshwa maana halisi na manufaa yake.
Mmekosa jipya
Kama kujifungia Mkajifungie wenyewe
Kwani ugonjwa ulianza nchi nzima kwa pamoja? Tambuwa kwamba mlisema tutakufa njaa tukiwazuia wachina wakati kila Taifa tayari walishaifungia!Mkuu hoja apa ni njaa
Serikali haina uwezo wa kuwapa at nusu kibaba cha dona wananchi wake kwa mwez mzima
Na ww unatakiwa utuambia hyo partial lockdown waliwafanyia nn wananchi wao!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mliacha kufunga mipaka, na AirPorts wachina na wageni wengine kumiminika kwa kigezo cha njaa!Yani unavyo shupaa utadhani hauijui Tanzania...in Tanzania lockdown won't work bro and will never work
Walishafanikiwa kudhibiti,ila baadhi ya raia kutoka nje ya China ndiyo waliyoleta mabalaaHahahahaha hujui Wuhan pamewaka Moto au hufatilii vyombo vya habar
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni matatizo yao yaliyosababishwa na uongozi mbovu wa Trump kwenye janga hili! Uzuri wa wenzetu, kuna accountability in one way or another. Kwahiyo wananchi lazima wapime kama alionyesha uongozi makini wakati wa janga hili linalotafuna maelfu ya wamarekani, wengi kwasababu ya uzembe.
Kwanza unafahamu maana ya disinformation?Hiyo linked article haikuongelea hayo mkuu.
Ameongelea reality ya sasa bila kutaja makosa ya Trump
Sent using Jamii Forums mobile app
The president was personally warned about the growing crisis beginning in mid-January – but continued to give false assurances to the American public
Mkuu sijui umetumia creteria gani kuifananisha Rwanda yenye 12.3m populationa na eneo la 26,338 km2 wakati population na TZ ina yenye 56+m na eneo la 947,303 km2 zaidi ya mara 35 kuilinganisha na Rwanda.... Kiuchumi kwa maana ya mtu mmoja mmoja wanakipato kizuri kuliko Tanzania ambao mlo wao mpaka mtu atoke aonane na mtu ili ale. Serikali imechukuq hatua na inaendelea kuhamasisha sana kupitia media... Mwitikio upo na tutafanikiwaMliacha kufunga mipaka, na AirPorts wachina na wageni wengine kumiminika kwa kigezo cha njaa!
Mulikataa kufunga baadhi ya maneneo huku mnawatafuta ama ku trace contacts! Kwa kigezo cha njaa! Wakati Rwanda imeweza na wakati tuna chakula kushinda wao!
Sasa mnakurupuka na kusema eti lockdown ni kufungia wananchi ili wafe na njaa!
Mumeenda hadi vijijini kudanganya wazee kuwa wanaosapoti lockdown, wanataka wawafungie ndani huko vijijini kwao nk. Huo ni upotoshaji na propaganda mbaya! Tambua kwamba ugonjwa ukifika kijijini hata hapo Dar mtalia njaa maana wakulima watakuwa busy na corona!