Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Mzizi mkavu
Big Sam
Zitto junior
Infantry souja
Big memes
Chato 1
Wa kupuliza
James bond
Baba mama
Ras jeff kapita
Msangi
Nasa
Masanza 1
Jeshi
Magonjwa mtambuka
Bak
Lala salama
Paschal Mayalla
Kijukuu
Meko
Dalali
Ajae anayefuata

List ni ndefu..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€“
 
Wa mlongo wangu upo?
Mie hata niwe kumhalule jf siachi kuingia [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipoo mlongo, JF ni kijiwe pendwaa,
Nikiwa Mpitimbi natuliza zangu JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera sana mkongwe,
Jf ilifaa iwape ki bluetick
 
Kulikuwa na vuguvugu la uhuru wa kifikra.

Tulikuwa tunarafuta mahala pa kushare our views bila kuathiri uhai wetu
Ooh mie nakumbuka niliingia 2012 nikakuta mambo siyaelewi kabisa watu wanachat kwa kujuana, mada za kisiasa ndio usiseme nikatoka ndukiiiii,

Nikarudi tena 2014 ila sikua nachangia kabisa zaidi ya kusoma kila kitu, nilikua naogopa matusi na mashushu ya wakulungwa,
nashangaa mwaka jana mwishoni ndio nikaanza kujichanganya.
 
Mimi Nimeanza kuisoma 2010 na 2017 ndio nikajiunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…