ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Limekuwa sio jukwaa la maana tena.Wakongwe tulishaondoka baada ya kizazi cha bongo flavour kuvamia hili jukwaa. Hawa watoto mchicha wali nazi topic zao za kiwaki sana, just imagine dogo anaomba ushauri hapo
"YAANI HAPA NILIPO NIMECHANGANYIKIWA, LEO MAMA AMEKATAA KUTUPIKIA WALI NYAMA.. USHAURI PLEASE, SERIOUS JAMANI NAOMBA USHAURI
Labda mimi?Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani natamani hata kuwa Senior member.😂
Apart from KIGOGO ambaye alijoin 2007 nani mwingine ni mkongwe?
Nataka kumjua mwanamke mkongwe zaidi JF ikiwezekana leo tuwape Heshima zao.🙏💪🇹🇿
View attachment 2585921
Miaka 9 sio haba, umenizidi mwaka 1Mimi hapa Mwanamke mkongwe
Jamani kumbe miaka 9 tayari!Miaka 9 sio haba, umenizidi mwaka 1
Mwwaa asanteJamani kumbe miaka 9 tayari!
Ahsantee pia hongera na wewe miaka 8 si haba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna Bro BAK
HAFU kuna mwamba abaitwa Spiderman
View attachment 2586330
Huyu mwana Avenger kamtangulia hadi Maxence Melo
View attachment 2586332
Hahahha kwa kweli lakini una tabia nzuri sana we dada sijui kwann aseee one of a kind 😁😁😁😆😆 Jf ya sikuizi cyo Kama ya 2013 huko,saivi vichaa ndio wamejaa humu.
SpidermanKuna Bro BAK
HAFU kuna mwamba abaitwa Spiderman
View attachment 2586330
Huyu mwana Avenger kamtangulia hadi Maxence Melo
View attachment 2586332
Mkuu Gide, naomba connection bwana na mimi nijiunge mabakaPascal Mayala kumbe wa juzi tu
Asanteee🙏,napenda amaniHahahha kwa kweli lakini una tabia nzuri sana we dada sijui kwann aseee one of a kind 😁😁😁
Hahahaa huyu Mwita25 alikuwa ni moja kati ya wajinga sana, kutwa kuandika upuuzi lkn English yake ilikuwa ni next level.
Bora ungekausha tu. Huyo ni mama yako na pengine amaweza akawa anamzidi kabisa kiufupi humu JF Wazee wenye 60+ wengi sana.Mamaangu ni 50+
Ni LegendaryRegendary
MnooooUmetisha sana
Mamaangu ni 50+
Mzizi mkavu
Big Sam
Zitto junior
Infantry souja
Big memes
Chato 1
Wa kupuliza
James bond
Baba mama
Ras jeff kapita
Msangi
Nasa
Masanza 1
Jeshi
Magonjwa mtambuka
Bak
Lala salama
Paschal Mayalla
Kijukuu
Meko
Dalali
Ajae anayefuata
List ni ndefu..
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji851]
Hapana uyu alikua kijana mdogo ila aliandika nyuzi nyingi nyingi sana....Hivi huyu infantry soldier ndo alikua anatishia na unajua mi ni nani au nimemfananisha [emoji28]