JF ina watu wake, note my wordsTutawarequestia malejend wote mabluetik ya heshima ili mkiwa mnaunda threads ziwe zinaheshimika ๐๐
Nina kesi na ww alafu ntakujuza tumalizane ๐๐JF ina watu wake, note my words
Sema jf kuna watu wa hovyo sana aseee sema basi tu ignore list zinasaidia sana tu ๐Yan goal nitachase mbaka kieleweke mkuu
LalaDaah nishaelewa unachomaaanisha itabidi tufanye demonstrations ๐ช๐
Acha tu mkuuu kuna watu wanadanga huku mkuuDaah kwanini tena kaka mkubwa?
Unasoma bado mkuu chuo auDaah hapa kulala ndo hakuna dadaangu nataka nipige daku then Fajr then maandalizi nikasome ๐๐
Kuna ule uzi wa kula tunda kimasihara mkuu, uchafu wote upo pale aisee ๐Acha tu mkuuu kuna watu wanadanga huku mkuu
Wanaanikana huku huku tena live live
Duuh inasikitisha sana mkuuuu hasa hawa wanawake ni full shida
Nimkuwa mtumiaji since 2021 nimesoma thread 938 lakini uchafu niliokutana nao huko acha tu
Nina data za watu takribani 57 na siri zao ninazo sijui kwann watu hawapendi kumalizana pm ๐๐คข๐คข๐คฎ
Sawasawa hata mm nipo chuoEeh boss napiga chuo flani ivi