Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Kuna faida yoyote zaid ya kale katiki
 
Kuna ule uzi wa kula tunda kimasihara mkuu, uchafu wote upo pale aisee πŸ™„
Achana na hiyo ni public sana kuna zingine nyingi tu zimo humu

Zimejjficha sana yaani daaah X ana gonorrhea kapewa na Y

Y kamla Z aliyekuwa rafiki wa X

W anaonea watu wivu

T ni singo maza anadanga kwa Q

E ni shogz W ni ke anayefagilia haya machoko


Yaani list ni ndefu mkuuj so sad sijui kwann hizi siri hawazimalizi pm asee πŸ˜”
 
Tukiendelea kujenga trust mkuu tutajuana tatizo la JF id fake ko ni ngumu kujuana na kuaminiana na watu chap sema kwakua sisi ni wana hakuna nomaa tupo pmj sana kaka πŸ€πŸ€›
Shukrani mi nipo dsm we upo mkoa gani mkuuu
 
Sijui wamepotelea wapi hawa jamaa, wengi kweli wamepotea,
Kulikua hamna upuuzi wa mke wangu kaniacha naomba ushauri humu.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ni nondo juu ya nondo mpk kunakucha
Kama vipi tuliendeleze vine lao mzee baba tukiwashe upyaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui wamepotelea wapi hawa jamaa, wengi kweli wamepotea,
Kulikua hamna upuuzi wa mke wangu kaniacha naomba ushauri humu.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ni nondo juu ya nondo mpk kunakucha
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Watu kama wanaambukizana gono basi hata ngwengwe wataambukizana! 🀣
 
Watu kama wanaambukizana gono basi hata ngwengwe wataambukizana! 🀣
Acha tu dadaangu kuna udangaji na uzinzi wa 8g humu sema sijui kwann wasimalizane vitu vya pm daaah noma sana aseee

Hizi ndoa bizi na mahusiano webyasikie tu so sad 😒
 
Sasa siku hizi wogawoga tu kipindi hiyo zinamwagwa fact tupu hapa mpk unashangaa.
Haiwezi kurudi ile JF.
Modes inabidi wafanye jambo kurudisha member wajaribu kutuma alerts hata kwenye mail zao kama vile unavokuwa unaumda accnt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…