Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Ndio maana Zanzibar magonjwa ya kurithishana yapo sana
 
Binamu zangu ni kaka zangu, ni marufuku kwetu kuwa uhusiano au kuoana na binamu. Hivi unaanzaje
 
Kuna baba mmoja wameoana binamu, yaani wale vijana ni dhaifu balaa. Wamekuwa kama wana unyafuzi wakati ni watu wazima sasa.
 
Uislamu hauhusini n mila za kiarabu
Nan amekudanganya,uislamu ni mila za waarabu fullstop na ukristo ni mila za warumi,kabla muarabu na wamisionari hawajakanyaga hili hili bara la Africa tulikua tuna abudu nin,think twice man...
,unajiita Dr halafu kichwani umejaza makamasi
 
Mbna mke alikuwa ana wake wawili na hakumzuia,Daudi alikuwa anawake chungu mzima mpaka kuoa mke wa mtu hakumzuia hakuna sehemu aliyezuia kuoa wake wenhi mpaka kuna sehemu Mungu anamwambia Daudi kama angetaka kuongeza wake mungu angempatia
 
Mkuu Asante nashukur Mwa ufafanuzi mzuri na wenye busara
 
Mbna mke alikuwa ana wake wawili na hakumzuia,Daudi alikuwa anawake chungu mzima mpaka kuoa mke wa mtu hakumzuia hakuna sehemu aliyezuia kuoa wake wenhi mpaka kuna sehemu Mungu anamwambia Daudi kama angetaka kuongeza wake mungu angempatia
Huu Bado unabaki kuwa ni upuuzu wa suleiman,hakuna mtu anayemtetea kwa upuuzi huu,na mwisho alikiri kwamba alikuwa anajilisha upepo tu.

Ila huyo jamaa yenu Sasa.
 
Huu Bado unabaki kuwa ni upuuzu wa suleiman,hakuna mtu anayemtetea kwa upuuzi huu,na mwisho alikiri kwamba alikuwa anajilisha upepo tu.

Ila huyo jamaa yenu Sasa.
Sijazungumzia suleyman mkuu soma tena ,Ntaanza na lameck ,Musa ,yakobo, Daudi na wote Manabii wa biblia walikuwa na wake zaidi ya mmoja
 
Ni suala la utamaduni tu na utaratibu aliojiwekea mwanadamu.
 
Sijazungumzia suleyman mkuu soma tena ,Ntaanza na lameck ,Musa ,yakobo, Daudi na wote Manabii wa biblia walikuwa na wake zaidi ya mmoja
Hoja sio hiyo,hoja ni wao kuagizwa na Mungu.

Ndio sababu nimesisitiza ilikuwa sehemu ya upuuzi wao tu vichwani.wala hatuwezi wachukulia kama walifanya jambo la mfano Bora.
 
Hoja sio hiyo,hoja ni wao kuagizwa na Mungu.

Ndio sababu nimesisitiza ilikuwa sehemu ya upuuzi wao tu vichwani.wala hatuwezi wachukulia kama walifanya jambo la mfano Bora.
Mkuu unaposema hawakuagizwa na Mungu unamaanisha nini?

Ntaanza kwa Musa na kama ikikupendeza unaweza sema niendelee kuwataja wengine au lah... Nataka nikuanzie mbali ili nikikupa huyo mke wa pili uone Mungu alivyomkingia kifua

Musa alioa Mke wa Kwanza ( Kutoka 2:16-23..)

Alikuwa mmidian baba yake akiwa kuhani wa midiani (Kutoka 2:16) na huyo baba yake sipora (Yethro) alikuwa kuhani mkuu wa Midiani, na alikuwa na uzoefu mkubwa katika mambo ya sheria na utawala ndo alomsaidia musa jinsi ya kuongoza na kumpa shule jinsi ya kuwasilisha neno la Mungu..(Kutoka 18:13-27)
Ukianzia 12 utaona walivyokuwa wana urafiki kati ya familia ya Musa na hiyo Familia ya mkwewe wa kwanza..

Kumbuka kwamba Mwanamke huyu aliolewa kabla Musa hajarudi Misri yaani kabla musa hajaenda kuwapambania Wanaisrael..

Musa Alioa mke wa pili (Hesabu 12:1-20)

baada ya Musa kuoa Mke mwingine (Mkushi)
Umesikia kauli ya Miriam dada yake na Haruni walivyosema kuwa Mbona Mungu hakunena na sisi

Inamaana Mungu ndo aliagiza Musa aongeze Jiko

Na baada ya Kuleta Umbea huo (Wa kumsema Musa Kuongeza Raha) Mungu alikasirika na aliwapa Adhabu mujarabu...

Mkuu nafikiri Umeona Kuwa Mungu alichagua Mke wa pili wa Musa Na Miriam na Haruni walipouliza Akakasirika
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Wewe unasomaje,18:12 inasema utupu wa umbu la baba yako usifunue.

Unajua maana yake,hapo shangazi zako,baba zako wadogo na wakubwa.

Na umesema mbali ikakataza mpaka mke wa rafiki yako.
Hahahaaa!Bado hakuna katazo la watoto wa baba mkubwa na mdogo kuoana.

Wewe unasomaje,18:12 inasema utupu wa umbu la baba yako usifunue.

"UTUPU WA UMBU LA BABA YAKO" maana yake ni "UCHI WA DADA WA BABA YAKO"(SHANGAZI).

Sasa ni wapi watoto wa baba mkubwa,watoto wa baba mdogo na watoto wa shangazi wamezuiwa kuoana?.

Tuache kulazimisha mazingira yetu kuwa ndiyo maandiko.
 
Hoja sio hiyo,hoja ni wao kuagizwa na Mungu.

Ndio sababu nimesisitiza ilikuwa sehemu ya upuuzi wao tu vichwani.wala hatuwezi wachukulia kama walifanya jambo la mfano Bora.
Wana wa Israel wametokana na wanawake wangapi? Na Vp sindiyo wabarikiwa wa Mungu kwa mujibu wa maandiko?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…