Hivi ni sahihi kwa mwanaume anayejiamini kumuuliza mwanamke, what will you bring to the table?

Hebu Kwede taja vitu vitano tu unavyoleta mezani bila kupepesa macho.

For argument's sake.
 
Ukitaka mkosane na wanawake wa kisasa basi muulize hilo swalli au swali lolote ambalo linalenga uwajibikaji katika dhana ya usawa ambayo wamekuwa wakiipigania kwa miaka.

Hata humu unaweza kujikuta unatengeneza maadui wengi wa kike kwa kuibua mada chokonozi kama hizi.

Ndio maana si ajabu kuona baadhi ya wanaume kuonekana kupinga mada kama hizi na kuwasapoti wanawake kwasababu hawataki kuvuruga urafiki wao walioujenga.
 
Maswali ya aina hii nadhani wanaulizwaga wanawake wanaodhani makalio na sura ndo kila kitu. Sidhani kama ni rahisi kwa binti smart kukutana na mwanaume wa kumuuliza swali kama hili.
 
Kulea mimba na kupika sio majibu ya muktadha wa swali.

Muktadha wa swali unalenga kuhusu mchango anaoutoa mwanamke kwenye swala zima la financially

Hii haihusiani na maswala ya kibaiolojia wala maswala ya mifumo ya uzazi kama ambavyo ulivyokuwa unaipeleka hoja yako huko.
 
Hebu Kwede taja vitu vitano tu unavyoleta mezani bila kupepesa macho.

For argument's sake.
Ameshaandika hapo labla hujasoma comment yake

1: anabeba mimba miezi tisa
2: anafua na kupika kitu ambacho kinampoteza kwenye ndoto zake.
3: anawalea hao watoto na vizazi vingine vijavyo

Kumbe hata haijafika vitano 😂
 
Usipindishe maneno babu, kifupi tuwaite hao wanaume wanafiki
Hii kitu humu JF mbona imekuwa trend sana.

Yanini kusema swaga zipo on wakati umeme wamgao?

Yanini kuandika kitu ili kumfurahisha mwingine ilihali hata wewe mwenyewe unajua kuwa ukweli haupo hivyo?

Nadhani ni kui discredit rational thinking yako.

Ukweli unakuwa ni ukweli kwasababu ni ukweli tu. Ukweli hauwi ukweli kwa kuangalia ni namna gani watu wanaupokea.
 
Hebu Baki usiende kazini uoshe vyombo nakufua
Watoto ni WA wote ila wamebeba pia jina lako
Mbona unaongea vitu simple sana?

No wonder why watu wamekuwa wanazikimbia ndoa.

Kwasababu technology inapanuka kwa kasi na hayo majukumu yamekuwa easily fixed na automated machines ambazo mtu akiwa nazo anaweza asifikirie umuhimu wa mwanamke ikiwa kama umuhimu wa mwanamke ndio huu ambao unauelezea hapo.

Na mbaya zaidi unakuta huyo mwanamke ameolewa na bado kawekewa msichana wa kazi na hizo shughuli hazifanyi yeye.

Lakini likija swala la talaka utasikia feminist wanakuja na hoja kama hizi: "Alikuwa anahudumia watoto," "kufagia, "kuosha vyombo".
 
Kuzaa hata panya anazaa.

Kuzaa tu sio kigezo cha kutaka kuhudumiwa kila kitu.

Afadhali basi uhudumie kila kitu kwa mke ambaye ni mtulivu hachepuki. Anatulia tu na watoto kulea.

Kuna hawa viruka njia, kichwani ni empty, ni wauza nyapu 24/7 , they have nothing to bring to the table. Halafu ndio vinara wa kutaka haki sawa.
 
Ivi ndoa inahitaj nin haswa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…