Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

Kuna wakati mtoto wa kitanga aliifinyia kwa ndani hapo same hapo nikiwa kikazi. Aaaah nilipiga kelele ya kufa mtu, saa kumi na Moja asubuhi...
Unalipaje vizuri TU Haina tabu. Mapenzi ni kufurahi...
Hukutoa machozi mkuu??
 
Kuna wakati mtoto wa kitanga aliifinyia kwa ndani hapo same hapo nikiwa kikazi. Aaaah nilipiga kelele ya kufa mtu, saa kumi na Moja asubuhi...
Unalipaje vizuri TU Haina tabu. Mapenzi ni kufurahi...
Badala ya kuwa bize na kazi iliyokupeleka wewe ukawa bize kufinyiwa kwa ndani? Jinga kabisa ndiyo maana nchi imebaki palepale tu ilipoachwa na Magufuli
 
Machozi TU. Na nilienda kulala kwake kwahiyo Mimi nikaondoka mapema... Nikiacha msala nyuma kwa wapangaji wenzie kuwa nani alipiga kelele🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bila shaka huyo kakuteka akili roho na nafsi, utachomoka kweli hapo
 
namna unavocontrol game!,mwanaume ni commanding tool mkuu kulialia huwa inaleta taswira tofaut ya kukosa mamlaka wakat wa tendo!obheja nkwela!
Huoni Kuna mwanawake humu wanatetea hoja kuwa, Boy wake anayemtafuna akipiga makelele yeye ndio inamwamasisha na kukata mauno....wapi ni wapi??
 
Harusi iko lini vile? 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…