Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

Hivi ni sahihi mwanaume kugugumia/kulia kimahaba wakati wa sex??

Kuna wakati mtoto wa kitanga aliifinyia kwa ndani hapo same hapo nikiwa kikazi. Aaaah nilipiga kelele ya kufa mtu, saa kumi na Moja asubuhi...
Unalipaje vizuri TU Haina tabu. Mapenzi ni kufurahi...
Badala ya kuwa bize na kazi iliyokupeleka wewe ukawa bize kufinyiwa kwa ndani? Jinga kabisa ndiyo maana nchi imebaki palepale tu ilipoachwa na Magufuli
 
Machozi TU. Na nilienda kulala kwake kwahiyo Mimi nikaondoka mapema... Nikiacha msala nyuma kwa wapangaji wenzie kuwa nani alipiga kelele🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 Bila shaka huyo kakuteka akili roho na nafsi, utachomoka kweli hapo
 
namna unavocontrol game!,mwanaume ni commanding tool mkuu kulialia huwa inaleta taswira tofaut ya kukosa mamlaka wakat wa tendo!obheja nkwela!
Huoni Kuna mwanawake humu wanatetea hoja kuwa, Boy wake anayemtafuna akipiga makelele yeye ndio inamwamasisha na kukata mauno....wapi ni wapi??
 
Yaani nilikuwa nasinzia ila baada ya kusoma hii comment na kuanza kucheka usingizi wote umekata.

Nimecheka kama tumbili anayekula mahindi shambani 😁😁😁😁😁😁😁
Nyani Ngabu

Siku yako ya hanemuni upige ukelele baada ya kushusha mzigo wa kisukuma 🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Harusi iko lini vile? 🤣
 
Back
Top Bottom