MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Wafanye lile wanaloliwezaSasa mbona wengine hawana uwezo wa kuzaa,,, haoni kama wanapa mzigo wengine!
Wafanye lile wanaloliwezaSasa mbona wengine hawana uwezo wa kuzaa,,, haoni kama wanapa mzigo wengine!
Ujinga ujinga tuKabisa wa kwetu watu kuzaa sana huku hawana uwezo wa kulea wanaona sifa
Dhana nzima ya kuzaa ili watoto wakusaidie baadaye ni potofu.Kuna dada ana miaka 27 ana watoto 6 mpaka sasa
Nikamshauri kuhusu uzazi wa mpango
Alikuepo mtu mwingine pembeni akasema mwache azae kama kizazi anacho watoto watakuja kumsaidia baadae heh nilipigwa butwaa
Watoto watakusaidiaje baadae na hata hawana mazingira wezeshi?
kama lipi?Wafanye lile wanaloliweza
Na huyo mzazi anaetaka kutuzwa kwa lazima yeye pia hana hata history ya kusaidia wazazi wake dahEndapo mzazi amezaa na watoto wengi na akawa na uwezo wa kuwasomesha na kuwatunza kwa ujumla ni jambo zuri na kwa watoto wakikua na kujitegemea kurudisha fadhila.
Lakini sio kuzaa kama panya na kushindwa kuwatunza watoto na baada ya miaka kutaka watoto wawatunze wazazi kwa lazima hii sio sawa.
kuendelea kutafuta watotokama lipi?
Tembea ujionee.Baadhi ya wazazi, hasa wale wa ukanda wa pwani nilikokulia mimi, utashangaa mzazi anazaa watoto wengi ambao wakati mwingine unaona kabisa uwezo wa kuwalea hana
Sawa babe 😍Sio sawa
Watu hawana elimu ndo maana watoto wengi wako mitaan utasema Yatima kumbe ni maisha ama malezi ovyo ya nyumbanKuna dada ana miaka 27 ana watoto 6 mpaka sasa
Nikamshauri kuhusu uzazi wa mpango
Alikuepo mtu mwingine pembeni akasema mwache azae kama kizazi anacho watoto watakuja kumsaidia baadae heh nilipigwa butwaa
Watoto watakusaidiaje baadae na hata hawana mazingira wezeshi?
Unatakiwa kujipangia maisha yako ya baadaye.Sasa kama nimemsomesha,nimemlea vizuri na kumwandalia maisha mazuri kwa nini asinisaidie pale ambapo mimi nimekosa nguvu(nimezeeka)?Unataka anitelekeze wakati yeye nilimpa kila kitu?
Usipende kuingilia maisha ya watu,Kuna dada ana miaka 27 ana watoto 6 mpaka sasa
Nikamshauri kuhusu uzazi wa mpango
Alikuepo mtu mwingine pembeni akasema mwache azae kama kizazi anacho watoto watakuja kumsaidia baadae heh nilipigwa butwaa
Watoto watakusaidiaje baadae na hata hawana mazingira wezeshi?
Ni mawazo ya zamani ila kuna watu mpka sasa wamekwama hukoNi mawazo ya zamani, kwa sababu watoto walikuwa wanatumika kama nguvu kazi ya familia, na kulikuwa hakuna mambo mengi sijui ya kusomesha sijui kumpa maisha bora, ilikuwa ilimradi umekula umeshiba mambo ya kuvaa na kulala yalikuwa si kipaumbele
Kuna mahali nimeingilia maisha ya watu au nimeingilia maisha yako?Usipende kuingilia maisha ya watu,
Hata wewe kuna vitu unavifanya ambavyo watu wengine wanaona huvifanyi sawa au unakosea,
Kila mtu aishi maisha aliyo yachagua,
Live the life you love,
Love the life you live.
Ni kukosa maarifa tuNi mawazo ya zamani ila kuna watu mpka sasa wamekwama huko
Yaan mlo mmoja ni shida ila anasema kila mtoto anakuja na sahani yake
Mzazi kulea na kusomesha watoto ni wajibu, si fadhila.Endapo mzazi amezaa na watoto wengi na akawa na uwezo wa kuwasomesha na kuwatunza kwa ujumla ni jambo zuri na kwa watoto wakikua na kujitegemea kurudisha fadhila.
Lakini sio kuzaa kama panya na kushindwa kuwatunza watoto na baada ya miaka kutaka watoto wawatunze wazazi kwa lazima hii sio sawa.
Kweli kabisa mtoto anafika mpka miaka kumi tu anaacha shule anaanza biashara ndogo ndogoWatu hawana elimu ndo maana watoto wengi wako mitaan utasema Yatima kumbe ni maisha ama malezi ovyo ya nyumban
Kwanini tenaMi namuonea huruma mzee dingi kwa kweli..
Mungu amsaidie tuu kwa kweli