ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #61
🤣🤣 mzee wa barua ya waziUnaweza kukuta hata mzazi wa chai ya rangi na yeye eti anasubiri mwanae chai ya rangi aje amlee uzeeni!
🤣🤣 mzee wa barua ya waziUnaweza kukuta hata mzazi wa chai ya rangi na yeye eti anasubiri mwanae chai ya rangi aje amlee uzeeni!
SanaUjinga ujinga tu
Kabisa mkuu karibu tena 😊Dhana nzima ya kuzaa ili watoto wakusaidie baadaye ni potofu.
Ni dhana ya kuzaa kibiashara, wakati kuzaa ni suala la familia, si biashara.
Tunaishi kwenye ulimwengu wa economic uncertainty, mtoto anaweza kutamani kukusaidia lakini akashindwa kwa sababu ya ugumu wa maisha.Goja siku ukizeeka akutelekeze ndiyo utajua ni nzuri au ni mbaya
Kwa hiari sio kwa shinikizoNdio. Hii ndio nature, unazaa watoto ukiwa na nguvu, unawakuza ukiwa nguvu, badae wakiwa wakubwa na umeshawajengea msingi, nguvu zako za kuzalisha na kuendeleza mali (Kama zipo), zitakwisha na hapo ndipo watoto wako wanatakiwa wakusaidie na kuchukua jukumu la au kuendeleza mali au kukusaidia.
Kuandika kazi Tosheka hivyo hivyo 😊Nje ya mada; Sema mada yako umechanganya vitu vingi sana, mara masikini, tajiri. Mtoto anatakiwa amsaidie mzazi bila kujali ni masikini au tajiri. 😊
Kupitia huu uzi najifundisha kuona watu wanatokea kwenye familia za aina gani?Hii mada imechanganya vitu vingi sana! Imechanganya umasikini wa wazazi, utajiri wa wazazi, wajibu wa watoto kusaidia wazazi, watoto kutelekezwa, kuzaa watoto wengi, kutowajibika kwa mzazi. Kila kitu kimo kwenye hii mada. 😊
Kila mtu anachangia kulingana na experience yake hapa. Mwingine hakupata malezi sahihi kwa wazazi wake. Mwingine wazazi wake walimtelekeza. Hisia zote zipo kwenye hii mada. 😊
Nimeongelea pwani kwa sababu ndio napajua huko kwingine sema wewe hukatazwiTembea ujionee.
Ukiwa umejifungia kwemu Mkamba Kizapala wilayani Mkuranga na wazazi wako wenye watoto sita unaweza kudhani watu wa Pwani ndiyo wanaozaa sana miongoni mwa makabila ya Tanzania.
Vyovyote vile iwe pwani iwe kusini kuzaa kama mtaji sio jambo zuriTembea sasa uwaone watu wanaozaa.
Nenda Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu kisha nenda Kigoma na hata Ruvuma baadaye urudie uzi wako.
Mkoani Geita nimekuta kijana ana miaka 26 ya kuzaliwa ana wake 3 na watot.o 9.
Hilo huwezi kulikuwa Kisarawe.
Kwakifupi tabia za kuzaa za ovyo ni tabia ya wafrika bila kujali kabila wala eneo.
Mkoa wa Kilimanjaro kwa mfano ambako wakazi wake 90% ni wakristo nimekuta baba mmoja ana wake 5 na watoto 16.
📌Unatakiwa kujipangia maisha yako ya baadaye.
Kwa sababu, mtoto wako naye atakuwa na majukumu ya kumlea mtoto wake, jukumu lake si kukusaidia wewe.
Kwa sababu, mtoto wako anaweza kufariki kabla yako, si lazima wewe uanze kufafiki.
Kwa sababu, mtoto wako ana haki ya kuishi maisha yake sehemu uoyote anayotaka, hata mbali na wewe, sehemu ambayo hawezi kukusaidia vizuri.
Kwa sababu, mtoto wako ana haki ya kukataa kuwa karibu na wewe kwa sababu zake zozote.
Kwa sababu, familia si biashara ya kutunzana.
Kabisa Mkuu mzazi anakua na matarajio makubwa yasipotimia anaanza kunungunikaHapana siyo sawa, na hizi dhana ndiyo zinazo haribu uhusiano wa mtoto na mzazi , kutaka mtoto akutunze ni kumwekea jukumu ambalo hakulichagua, mtoto hakukuomba azaliwe, wajibu wa mzazi ni kumlea hadi aweze kujitegemea, akikusaidia hapo baadaye, hiyo ni gratitude.
Kibaya zaidi, wazazi walio wengi wakishindwa kupata kile walicho kitarajia kutoka kwa mtoto huwa wanaishia kutumia lugha ya kuumiza kumsema mtoto, utasikia ("wewe hauna shukurani, sijui nilijinyima sana mpaka kukuzaa")
Kusaidiana ni jambo la kiungwana lakini isiwe lazima, msaada wa mtoto unapaswa uwe wa hiyari, mtoto anapaswa kuwa mtu siyo kivuli cha matarajio ya mtu mwingine.
Hatari sanaHeri yangu mimi sijasema.Hapo mume huwa ni mbabe kukiko wababe.Hao "mifugo"wake wa faida vipigo na manyanyaso kwao huwa ni kama sala na kazi.
Ukiona haieleweki kaa tu kando hakuna tabu wataoelewa watachangia kwa kadri watakavyoelewaHii mada imechanganya vitu vingi sana! Imechanganya umasikini wa wazazi, utajiri wa wazazi, wajibu wa watoto kusaidia wazazi, watoto kutelekezwa, kuzaa watoto wengi, kutowajibika kwa mzazi. Kila kitu kimo kwenye hii mada. 😊
Kila mtu anachangia kulingana na experience yake hapa. Mwingine hakupata malezi sahihi kwa wazazi wake. Mwingine wazazi wake walimtelekeza. Hisia zote zipo kwenye hii mada. 😊
Ishu ya kusaidia wazazi ni suala binafsi la mtu husika. Kuna mwingine wazazi wake wamempa life na wamemrithisha mali. Bond yake yeye na wazazi wake ni ya kudumu/lifetime bond.
Endelea kufanya uchambuzi kuhusu wanaochangia huku umetoka kukataza kufatilia maisha ya watu ila JF 🙌🙌🙌Kupitia huu uzi najifundisha kuona watu wanatokea kwenye familia za aina gani?
Utamtambua mtu kwa emotion yake tu kwenye uchangiaji wake,wengine wanajibu kwa hasira kama zote dhidi ya wazazi wao!
Nomani usengerema mkuu
Charity kwa tafsiri yake ni hiari, suala la kuwasadia wazazi hatukatai ni jambo jema sana likifanywa kwa hiari.Ni sawa kabisa kusoma na kuja kuwasaidia wazazi wako. Na si wazazi wako tu bali kumsaidia mtu yeyote anayehitaji msaada kwako. Kuwasaidia wazazi ni sawa na kufanya hisani ya kusaidia watoto yatima na wasiojiweza. Charity start at home.
Mhm sifahamu ngoja wengine wajeIvi kuna matokeo au hasara zipi kwa mwanaume iwapo mwanaume asipoleta kabisa mtoto duniani kwa kuamua mwenyewe.
Jaribu kua muelewa,nimesema Najifundisha, kuna njia nyingi za kujifundisha jambo ikiwemo kupitia watu wengine,kuna tofauti kubwa kati ya Kujifundisha na Kushauri au kuingilia privacy ya mtu,Endelea kufanya uchambuzi kuhusu wanaochangia huku umetoka kukataza kufatilia maisha ya watu ila JF 🙌🙌🙌