Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Matarajio yakizidi uhalisia madhara yake ndiyo huwa hayo Madam.Kabisa Mkuu mzazi anakua na matarajio makubwa yasipotimia anaanza kunungunika
Matarajio yakizidi uhalisia madhara yake ndiyo huwa hayo Madam.Kabisa Mkuu mzazi anakua na matarajio makubwa yasipotimia anaanza kunungunika
Kupitia huu uzi najifundisha kuona watu wanatokea kwenye familia za aina gani?
Utamtambua mtu kwa emotion yake tu kwenye uchangiaji wake,wengine wanajibu kwa hasira kama zote dhidi ya wazazi wao!
Wewe sio mgeni kwangu hujawahi kabisa kukubali mawazo yangu mara nyingi ni kuzodoa 🤣Jaribu kua muelewa,nimesema Najifundisha, kuna njia nyingi za kujifundisha jambo ikiwemo kupitia watu wengine,kuna tofauti kubwa kati ya Kujifundisha na Kushauri au kuingilia privacy ya mtu,
Mimi sijamfuata mtu na kumwambia ''Usifanye hivi bali fanya vile'' ''Una watotot 6 usizae watoto wengi''
Wilaya ya Moshi vijijini kata ya Kishimundu siwezi kutaja kijiji, nimemkuta mzee wa miaka 80, mwanajeshi mstaafu ana idadi hiyo ya watoto.Kilimanjaro sio kweli, katika jamii hawazaliani kwa sasa ni Kilimanjaro, shule nzima ya msingi kukuta ina watoto 50 tu ni kawaida
Sio poaKupitia huu uzi najifundisha kuona watu wanatokea kwenye familia za aina gani?
Utamtambua mtu kwa emotion yake tu kwenye uchangiaji wake,wengine wanajibu kwa hasira kama zote dhidi ya wazazi wao!
Alhamdulillah kwa wazazi wangu😊Matarajio yakizidi uhalisia madhara yake ndiyo huwa hayo Madam.
Ukiona haieleweki kaa tu kando hakuna tabu wataoelewa watachangia kwa kadri watakavyoelewa
OkayMada kuchanganya vitu vingi haina maana haileweki. 😊
Wazee wa zamani ni sawa na karibu wote walimudi kuwatunza kupitia zao la kahawa ,ila kwa sasa kukuta binti wa kichaga mwenye miaka 30 na hana mpango wa kuzaa ni kawaidaWaiaya ya Moshi vijijini kata ya Kishimundu siwezi kutaja kijiji, nimemkuta mzee wa miaka 80, mwanajeshi mstaafu ana idadi hiyo ya watoto.
Mi mwenyewe nilishangaa.
Na mmoja wa watoto wake ni mtu wangu wa karibu.
Okay
Ameen, wazazi ni baraka.Alhamdulillah kwa wazazi wangu😊
Nisalimie 😊Naomba nikusalimie binti. 😊
Yeah na mi nitakua mama nisie na gubu la kusaidiwaAmeen, wazazi ni baraka.
Wazee wa zamani ni sawa na karibu wote walimudi kuwatunza kupitia zao la kahawa ,ila kwa sasa kukuta binti wa kichaga mwenye miaka 30 na hana mpango wa kuzaa ni kawaida
Mtazamo mzuri sana huu, ukiwalea watoto kwa upendo bila kuwabebesha mzigo wowote, nafasi ya wao kuja kukusaidia kwa hiari huwa ni kubwa zaidi.Yeah na mi nitakua mama nisie na gubu la kusaidiwa
Umetoa kwangu mawazo au shutuma? hujatoa wazo lolote kwangu,labda utakua hujui maana ya neno Mawazo ''Suggestion''Wewe sio mgeni kwangu hujawahi kabisa kukubari mawazo yangu
na hilo sio kosa kabisa
Wala sijawahi kuhitaji mtu anizowee hapa JFso nitakuzoea hivyo hivyo
Kuwepo kwangu JF wala hakuhitaji ukaribisho kutoka kwa mtu yeyote yule bali ni maamuzi yangu binafsi.🙏🙏 karibu tena
Kumekucha haya endelea mkuu mie pamoja na kua mwanamke siwezi majibishano so kama nimekukosea nisamehe mimi bure🙏🙏🙏🙏Umetoa kwangu mawazo au shutuma? hujatoa wazo lolote kwangu,labda utakua hujui maana ya neno Mawazo ''Suggestion''
Kosa gani?
Wala sijawahi kuhitaji mtu anizowee hapa JF
Kuwepo kwangu JF wala hakuhitaji ukaribisho kutoka kwa mtu yeyote yule bali ni maamuzi yangu binafsi.
Anachanganya vizazi, wazee wetu sio sawa na millennials au Gen-Z. Life ya uchaggani imeshabadirika, na imebadirika miaka ya 90's kuja juu huku. Watoto kibao sio tena priority uchaggani.
Kwani nani anabishana? mimi sibishani bali najadili mada,Kumekucha haya endelea mkuu mie pamoja na kua mwanamke siwezi majibisha so kama nimekukosea nisamehe mimi bure🙏🙏🙏🙏
🙏🙏Kwani nani anabishana? mimi sibishani bali najadili mada,
Mimi ninapojadili jambo hapa JF hua naangalia zaidi kinacho ongelewa na sio kuangalia ID gani inaongea.