Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakuu kwema,
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo ulipelekea jumuiya hiyo kufutwa na BAKWATA kuzaliwa
Napenda kuuliza kuwa kama aliwahi kuwa na mgogoro na Kanisa Katoliki au Waprotestanti hata kama haukuwa mkubwa kama ule wa Waislamu
Tunafahamu Magufuli aliwahi kugombana na Kanisa Katoliki na Lutheran kufuatia makanisa hayo kutoa nyaraka za kulaani watu kutekwa, na pia kuhusu alivyoshughulikia ugonjwa wa Covid-19.
Mohamed Said